Mapungufu ninayoyaona simba

Mapungufu ninayoyaona simba

... binafsi naona ahoua bado sana labda tulikua na matarajio makubwa kuliko uwezo wake au bado tunamfanisha na chama mnaosema takwimu zinambeba angalia takwimu zake ni za aina gani utakuta ni fouls penalty na kwenye mechi rahisi mkiwa na mechi ngumu anapotea kabisa hakupi kile ambacho tulitegemea walau
Kwani ni lazima afananishwe na Chama? Kabla Chama hajaja Simba, wachezaji walikuwa wanafananishwa na nani? Huu uhuru wa uchambuzi unapotosha sana, inabidi udhibitiwe
 
Tupe takwimu zake kudhibitishia maneno yako.
Kazi za mutale uwanjani hazitaki takwimu ulizozioea za goals and assist
Yeye anakimbiza sana, anapiga pasi nyuma ya striker na winga
Anasumbua na kufungua ngome ya timu pinzani
 
Mutale ni mchezaji mzuri
Sema hapo umbumbumbuni Huwa Kuna makelele
Coach Fadlu ashaona kitu kwake
5imba jifunze Kwa Yanga
Kipindi anafika Aziz ki tulimvumilia sana msimu uliofuata akawa top scorer
Dube mechi zaidi ya 10 hafungi ila Sasa kila mechi anatupia
Kila mechi anatupia! Mh
 
Mutale ni mchezaji mzuri
Nadhani ninaongoza kwa kumtetea hapa jukwaani
Chondechonde viongozi wasije wakaingia mkenge kwa kusikiliza kelele za mashabiki na watu wa mitandaoni.
 
Kwani ni lazima afananishwe na Chama? Kabla Chama hajaja Simba, wachezaji walikuwa wanafananishwa na nani? Huu uhuru wa uchambuzi unapotosha sana, inabidi udhibitiwe
Pointi yangu hapa alikuja kureplace nafasi ya chama kama alikuja kureplace nafasi ya chama inatakiwa tumfananishe na nani asa make ubutu wa straika waliopo simba unasababishwa na no 10 akiwa hana impact tutawaona wakina mukwala na ateba ni vituko endapo hawana no 10 mzuri anangalia mechi ya simba na kagera kile alichokifanya chasambi ndo tunategemea kifanywe na no 10
 
Kazi za mutale uwanjani hazitaki takwimu ulizozioea za goals and assist
Yeye anakimbiza sana, anapiga pasi nyuma ya striker na winga
Anasumbua na kufungua ngome ya timu pinzani
Hiyo kazi ikifanywa na Kibu mnamzodoa kuwa msimu mzima ana goli 1. Huu utetezi wa Mutale unaleta mashaka sana.
 
Mutale hana rekodi zozote za maana zinazo mbeba hata alipo kuwa huko kwao zambia, na nilishangaa ni kipi kiliwavutia viongozi wa Simba mpaka waka msajili.
Kukaa na mchezaji wa kigeni anaye lipwa mshahara mkubwa kama Mutale hali yakuwa ameshindwa kuleta impact yeyote kwa timu ndani ya mechi zaidi ya 8 ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Mpanzu ana muda mrefu bila kucheza na amecheza mechi bili tu tena kwa dakika chache lakini faida yake imeonekana jana bila ubora wa goli kipa angefunga magoli si chini ya mawili.

Kukaa hapa na kusubiria eti mutale atakuja abadilike utakuwa unajichanganya kwa sababu huo ndo uhalisia wa kiwango chake. Kuliko kumleta mutale bora mara 100 tungebaki na Saido alikuwa na impact uwanjani kuliko huyo mutale.
Records ye za nini kwani uliambiwa ye ni producer??
 
Mutale ni mchezaji mzuri
Nadhani ninaongoza kwa kumtetea hapa jukwaani
Chondechonde viongozi wasije wakaingia mkenge kwa kusikiliza kelele za mashabiki na watu wa mitandaoni.
Kwa hiyo Simba dilisha dogo wasiboreshe kikosi ila wawasubiri wachezaji wanao vurunda mpaka pale watakapo kuwa sawa?
 
Back
Top Bottom