nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Sisi hayo mambo hatufanyi, labda aje kwenu.tulimvulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hayo mambo hatufanyi, labda aje kwenu.tulimvulia
Mtani umenikamata kwenye typing error 😀🤣Sisi hayo mambo hatufanyi, labda aje kwenu.
Leta takwimu za tangu aje simba hata alipo kuwa Zambia ili tuuone huo uzuri wake.Hujui mpira
Mutale ni mchezaji mzuri mno
Nadhani hapo umbumbumbuni anakosa confidence tu
Kwani ni lazima afananishwe na Chama? Kabla Chama hajaja Simba, wachezaji walikuwa wanafananishwa na nani? Huu uhuru wa uchambuzi unapotosha sana, inabidi udhibitiwe... binafsi naona ahoua bado sana labda tulikua na matarajio makubwa kuliko uwezo wake au bado tunamfanisha na chama mnaosema takwimu zinambeba angalia takwimu zake ni za aina gani utakuta ni fouls penalty na kwenye mechi rahisi mkiwa na mechi ngumu anapotea kabisa hakupi kile ambacho tulitegemea walau
Tupe takwimu zake kudhibitishia maneno yako.Hujui mpira
Mutale ni mchezaji mzuri mno
Nadhani hapo umbumbumbuni anakosa confidence tu
Kazi za mutale uwanjani hazitaki takwimu ulizozioea za goals and assistTupe takwimu zake kudhibitishia maneno yako.
Kila mechi anatupia! MhMutale ni mchezaji mzuri
Sema hapo umbumbumbuni Huwa Kuna makelele
Coach Fadlu ashaona kitu kwake
5imba jifunze Kwa Yanga
Kipindi anafika Aziz ki tulimvumilia sana msimu uliofuata akawa top scorer
Dube mechi zaidi ya 10 hafungi ila Sasa kila mechi anatupia
Mechi gani na gani mzeeKila mechi anatupia! Mh
Pointi yangu hapa alikuja kureplace nafasi ya chama kama alikuja kureplace nafasi ya chama inatakiwa tumfananishe na nani asa make ubutu wa straika waliopo simba unasababishwa na no 10 akiwa hana impact tutawaona wakina mukwala na ateba ni vituko endapo hawana no 10 mzuri anangalia mechi ya simba na kagera kile alichokifanya chasambi ndo tunategemea kifanywe na no 10Kwani ni lazima afananishwe na Chama? Kabla Chama hajaja Simba, wachezaji walikuwa wanafananishwa na nani? Huu uhuru wa uchambuzi unapotosha sana, inabidi udhibitiwe
Na simba ikipakatwa ndio tufanyaje
Hiyo kazi ikifanywa na Kibu mnamzodoa kuwa msimu mzima ana goli 1. Huu utetezi wa Mutale unaleta mashaka sana.Kazi za mutale uwanjani hazitaki takwimu ulizozioea za goals and assist
Yeye anakimbiza sana, anapiga pasi nyuma ya striker na winga
Anasumbua na kufungua ngome ya timu pinzani
Records ye za nini kwani uliambiwa ye ni producer??Mutale hana rekodi zozote za maana zinazo mbeba hata alipo kuwa huko kwao zambia, na nilishangaa ni kipi kiliwavutia viongozi wa Simba mpaka waka msajili.
Kukaa na mchezaji wa kigeni anaye lipwa mshahara mkubwa kama Mutale hali yakuwa ameshindwa kuleta impact yeyote kwa timu ndani ya mechi zaidi ya 8 ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Mpanzu ana muda mrefu bila kucheza na amecheza mechi bili tu tena kwa dakika chache lakini faida yake imeonekana jana bila ubora wa goli kipa angefunga magoli si chini ya mawili.
Kukaa hapa na kusubiria eti mutale atakuja abadilike utakuwa unajichanganya kwa sababu huo ndo uhalisia wa kiwango chake. Kuliko kumleta mutale bora mara 100 tungebaki na Saido alikuwa na impact uwanjani kuliko huyo mutale.
Yanga wainameNa simba ikipakatwa ndio tufanyaje
Kwa hiyo Simba dilisha dogo wasiboreshe kikosi ila wawasubiri wachezaji wanao vurunda mpaka pale watakapo kuwa sawa?Mutale ni mchezaji mzuri
Nadhani ninaongoza kwa kumtetea hapa jukwaani
Chondechonde viongozi wasije wakaingia mkenge kwa kusikiliza kelele za mashabiki na watu wa mitandaoni.