Mapungufu ya Dini za Wakoloni

Ndio jibu hapo nimekupa juu, Mwenyez Mungu anajua outcome ya ulichochagua, mwenye will ya kuchagua ni wewe, you have trilions of choice na outcome za Choice zote Mwenyez Mungu anazijua.
Ok naona kama unakwepa swali kimtindo.

labda twende kwa mfano huu: ninawazo la kwenda kuzini. Hivyo nina two choices Either nisiende kuzini au niende.

Je mungu ambaye umesema amenipa Freewill je kabla sijachagua lolote kati ya hivyo viwili je anajua nitachagua nini?
 
Bado Kuna utata, k
Kama mungu anajua chaguzi zetu hata kabla hatujachagua. Huu sio uhuru tena.

Yeye anakuwa kama vile ameandaa Igizo, na amepanga characters na Kila characters anafahamu ataplay role ipi, na ili Igizo liende vizuri characters hawawezi kucheza kinyume na Matakwa ya mtengeneza Igizo, maanake Characters hawana uhuru wa kuigiza tofauti na Igizo lilivyo. Sasa kwa mfano huo hiyo free will inawezekanaje?
 
Kujua kila kitu maana yake ni kujua kila kitu. Yaani kila kitu kuhusu maisha yako labda kuna siku utagombana na mtu flani, utaachwa na mkeo nk

Sasa maana yake ni kwamba hadi machaguzi yako anayajua. Hivyo hamna 'chaguzi huru'
Mkuu ukishasoma software ama games zinakuwa developed vipi ni rahisi kung'amua hili.

Mfano Mimi natengeneza game kwenye game nimeweka jangwa halafu Kuna njia mbili, ukienda kushoto Kuna shimo unavunjika mguu, ukienda kulia Kuna mti una kivuli na kisima Cha maji, so najua outcome Yako ni kutulia kwenye kivuli ama kuvunjika mguu, wewe utafanya choice ya unachotaka Sasa,

Fikiria mfano huo ila kwa Trilion of trilions of possibilities.

Ndio maana mwenyez Mungu akakuekea variables ambazo zinakusaidia kuchagua njia nzuri kama vile kusoma Dua, kusaidia wenzako, kuwatendea wema wazazi etc.
 
Anajua hakisii. Maisha yako yote anayajua kama movie. Exactly how it plays out.
 
 
Anajua utachagua nini, ila unaweza usichague ulichoandikiwa kuchagua na ukachagua unachotaka wewe kwa Rehma zake.
 
Mambo magumu sana haya
 
Anajua utachagua nini, ila unaweza usichague ulichoandikiwa kuchagua na ukachagua unachotaka wewe kwa Rehma zake.
Uhuru wa Kuchagua kwa ninavyoelewa ni uwezo wa Kuchagua pasipo kuingiliwa, maanake Mimi ndio najua nitakacho chagua, sasa kama mungu tayali anajua nitakachochagua, maanake alishalipanga before kuwa nichague lipi. Sasa kama alishanipamgia huo uhuru unao usema mbona siuelewi.?
 
Hata kama Mungu anajua chaguzi ambazo tutafanya, hii haimaanishi kwamba ameamua chaguzi hizo kwa niaba yetu
Yeye si ndo muweza wa yote?

Si tunaamini kila kitu kwenye maisha yetu yeye ndo anasimamia?

Basi yeye ndo ameamua.
 
Anajua hakisii. Maisha yako yote anayajua kama movie. Exactly how it plays out.
Hio ni starting point, ukirudi Tena vile vile kwenye game Kila mtu ana starting point yake, ila mwenyez Mungu ameweka options ambazo zinaweza badili kile Alichoandika,

Mfano
It was narrated that Anas ibn Maalik (may Allah be pleased with him) said: I heard the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) say: “Whoever would like his rizq (provision) to be increased and his life to be extended, should uphold the ties of kinship.” Narrated by al-Bukhaari (2067) and Muslim (2557).

Maelezo ya Hadith
Al-Bayhaqi (may Allah have mercy on him) said:

What this means is that Allah, may He be glorified, has written what will befall a person of calamity, deprivation, death and so on, and that if he calls upon Allah, may He be exalted, and obeys Him by upholding ties of kinship and the like, this calamity will not befall him, and Allah will give him abundant provision and grant him a long life. And He wrote in al-Lawh al-Mahfooz what will happen in either case. End quote.

So hapo kwenye qadar both options zimeandikwa nani atachagua hizo options ni wewe.

So inawezekana wewe umeandikiwa janga Fulani but it's possible kuliondoa hilo janga ukimuomba mwenyez Mungu.
 
Je akikupa option ya kupangua ulichopangiwa sio free will?
 
Hajakupangia la kuchagua.

Ni sawa kumuonyesha mtoto wako pipi na andazi, halafu yeye akachagua pipi akaacha andazi. Je hapo ni wewe utakuwa umemuamulia achague pipi? Kama ulitaka achague pipi, andazi ulimuonyesha kwa lengo gani?
Chukulia huo mfano wako kama ulivyo uhamishie kwa mungu.
Haya mungu ananipa andazi na pipi nichague kimojawapo, Je anafahamu nitachagua kipi?
 
labda Allah sio Yahweh

Kabla ya kuacha imani nilikua mkristo kwahiyo namjua Yahweh
 
Kama yeye ndie ameamua kwa nini watu wote ulimwenguni wasiwe na maamuzi ya aina moja?
ndo hapo inakuja ile 'mipango yake haichunguziki'

Ila kwa mtazamo wangu wa kiatheist; he is a sadistic manipulator, sijui inasemwaje kwa kiswahili
 
Hajakupangia la kuchagua.

Ni sawa kumuonyesha mtoto wako pipi na andazi, halafu yeye akachagua pipi akaacha andazi. Je hapo ni wewe utakuwa umemuamulia achague pipi? Kama ulitaka achague pipi, andazi ulimuonyesha kwa lengo gani?
Hapo yeye ndiye atakuwa amemua, na kama ningekuwa najua kwa asilimia 100 kuwa atachagua pipi nisingemuwekea chaguzi, ningempatia pipi direct.
 
Ila we jamaa

nimetumia uhuru wangu, nijuavyo mimi mungu ni mtesaji mwenye kuthibiti, ukiniomba sababu nakupa

kwanini nijali watu watawazaje?

kutokuabudu si uhuru wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…