Mkuu ukishasoma software ama games zinakuwa developed vipi ni rahisi kung'amua hili.
Mfano Mimi natengeneza game kwenye game nimeweka jangwa halafu Kuna njia mbili, ukienda kushoto Kuna shimo unavunjika mguu, ukienda kulia Kuna mti una kivuli na kisima Cha maji, so najua outcome Yako ni kutulia kwenye kivuli ama kuvunjika mguu, wewe utafanya choice ya unachotaka Sasa,
Fikiria mfano huo ila kwa Trilion of trilions of possibilities.
Ndio maana mwenyez Mungu akakuekea variables ambazo zinakusaidia kuchagua njia nzuri kama vile kusoma Dua, kusaidia wenzako, kuwatendea wema wazazi etc.

Mungu anjua maisha yako kabla hata hujazaliwa, maana yake ana mpango mzima wa maisha yako ameu set. Sasa swali je unaweza kubadili mpango wa mungu kuhusu maisha yako? Kama unaweza je huyo Mungu anafahamu kama utabadili mpango wake? Kama anafahamu maanake hujabadili chochote maana alikuwa anafahamu before.