Mapungufu ya Dini za Wakoloni

Nimeshauri tu mkuu.
Lakini hata sheria inasema uko huru ila usivunje sheria.

Kuwa na uhuru wa kutoabudu haikupi haki ya kutuma maneno makali lwa wale wanao abudu.

Life is two way traffic.
If I can prove it, I will say it.
 
Sasa unataka nani aabudiwe? Uwezo wa Mungu hauchunguziki kwa jinsi ya mwili yaani akili za mwili. Mambo ya rohoni hujulikana roho tu
Hapo umeingiza imani au umeshindwa hoja maana mwandishi kaweka ushahidi basi nawe tuwekee
 
Haileti maana kama kila mtu atajichagulia
 
Hajakashifu jamani mbna wabongo wagumu kuelewa? Yeye katumia ushahidi wa maandiko
 
Halafu hajataja yeye ni wa dini gani pia Allah ni Mungu kwa kiarabu kama unavomuita Jehova kwa lugha za watu wengine
 
Hii syo siasa bali ni kitabu kimeandika clearly
 
kama sehemu ya mpango wa Mungu au jaribio la imani.
mpango gani? si kila mtu atafufuliwa siku ya mwisho na kuhukumiwa kuna mpango mwingine?

jaribio la imani? watu wanakufa mamia kwa maelfu ili nani ajaribiwe imani?πŸ˜‚

nikisema hakuna chaguzi huru mnabisha, mtoto aliyekufa kwenye mafuriko chaguo lake ni lipi?
 
dah, a total nutcase

haya bana
 
Mfano wako unazidi kuonyesha huyo Mungu hayupo ila ni wa kufikirika tu.

Mungu mwenye upendo wote kwanini aweke feature ya vitu vibaya then atupe tucheze game akijua tutashindwa na vitu vigumu maana ni mjuzi wa yote, then anakasirika as if alikua hajui matokeo ya game tutakayocheza.

Kifupi story za Mungu ni abracadabra tu.
 
Oya mbn Kila kitu unatumia chatgpt?
 
Kama hakuna Mungu, Swali rahisi hili wasio amini Mungu wanaulizwa wanashindwa kutoa jibu, naomba na wewe ni jibu.

Miili yetu ina Dna na kwenye Dna kuna Digital information kama Binary language ambazo zina information zote kuhusu sisi, ukuaji wetu etc.

Je kumewahi Dunia hii digital information by chance? Kama hakuna nani ama nini kimeweka Digital information kwenye Miili yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…