mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Allah au Yahweh? Au Zeus? Buddha?Hili nao neno, sema Sir GOD yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah au Yahweh? Au Zeus? Buddha?Hili nao neno, sema Sir GOD yupo
Dogo mi Ngozi nyeusi, dini za mtumbwi hazi nihusuAllah au Yahweh? Au Zeus? Buddha?
mungu wako anaitwa nani?Dogo mi Ngozi nyeusi, dini za mtumbwi hazi nihusu
If I can prove it, I will say it.Nimeshauri tu mkuu.
Lakini hata sheria inasema uko huru ila usivunje sheria.
Kuwa na uhuru wa kutoabudu haikupi haki ya kutuma maneno makali lwa wale wanao abudu.
Life is two way traffic.
Hapo umeingiza imani au umeshindwa hoja maana mwandishi kaweka ushahidi basi nawe tuwekeeSasa unataka nani aabudiwe? Uwezo wa Mungu hauchunguziki kwa jinsi ya mwili yaani akili za mwili. Mambo ya rohoni hujulikana roho tu
Haileti maana kama kila mtu atajichaguliaImani na dini zinahusisha uhuru wa mtu binafsi kuchagua na kufuata imani yake. Ikiwa Mungu anatamani kueneza imani yake, anaweza kuwatumia watu wengine kama njia ya kufikisha ujumbe wake.
Ni muhimu pia kuzingatia kwamba dini zilikuwa zinaenea ulimwenguni kote kupitia njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na biashara, utamaduni, na mawasiliano ya kibinadamu. Kwa hiyo, mchakato wa kueneza dini ulikuwa ni wa kimataifa na wa kubadilishana.
Hatimaye, ni suala la mtazamo wa kibinadamu na uhuru wa kuchagua kuamini au kutofautiana na dini fulani. Kila mtu ana uhuru wa kufuata imani yake na kuchagua jinsi anavyotaka kuitafsiri.
Hajakashifu jamani mbna wabongo wagumu kuelewa? Yeye katumia ushahidi wa maandikoNi uhuru wa binadamu pia kukashifu kila anachokiona hakina mantiki.
Yahweh anasema aliumba binadamu wote. Hivyo binadamu wote wanapaswa kumuabudu.
Lakini dini ya ukristo ilifika Tanzania maelfu ya miaka baada ya kuanza kwake. Na sio kwa nia nzuri.
Pia kama dini yake ndo ya kweli mbona anaruhusu watu kuabudu miungu mingine mf Allah?
Ni maswali yanayopaswa kujibiwa.
Halafu hajataja yeye ni wa dini gani pia Allah ni Mungu kwa kiarabu kama unavomuita Jehova kwa lugha za watu wengineNi uhuru wa binadamu pia kukashifu kila anachokiona hakina mantiki.
Yahweh anasema aliumba binadamu wote. Hivyo binadamu wote wanapaswa kumuabudu.
Lakini dini ya ukristo ilifika Tanzania maelfu ya miaka baada ya kuanza kwake. Na sio kwa nia nzuri.
Pia kama dini yake ndo ya kweli mbona anaruhusu watu kuabudu miungu mingine mf Allah?
Ni maswali yanayopaswa kujibiwa.
Hii syo siasa bali ni kitabu kimeandika clearlyKuelewa unachouliza unatakiwa ufanye summary ya mambo mawili
-mwenyez mungu anajua Kila kitu
-Binadamu ana free will.
Ukiweza kufanya hizo statment mbili ku Co-exist basi utakua umeshapata jibu la maswali yote ya juu.
Na ili uweze kuzifanya hizo statement ku Co-exist pamoja chukulia mfano wa computer ama game.
Developer anatengeneza Program ya computer anaweka maelfu ya features, Developer anajua features zote, wewe unatumia hio program una free will kuchagua feature yoyote ile ila hakuna feature hata moja ambayo utachagua ambayo developer haijui.
Mwenyez Mungu alitengeneza Dunia way before hata Binadamu wa kwanza hajakuja, Kila kitu kimeandikwa, wewe una free will kufuata ambavyo mwenyez Mungu ameweka, ila ni will yako inayoamua kufuata vitu vizuri vilivyowekwa na Mwenyez Mungu ama kufuata vitu vibaya.
mpango gani? si kila mtu atafufuliwa siku ya mwisho na kuhukumiwa kuna mpango mwingine?kama sehemu ya mpango wa Mungu au jaribio la imani.
dah, a total nutcaseNinaelewa kwamba mifano ya mateso na maafa kama vile kifo cha mtoto kwenye mafuriko inaweza kuinua maswali magumu kuhusu uhuru wa chaguzi. Katika muktadha huo, inaweza kuonekana kuwa mtoto huyo hakuwa na uwezo wa kuchagua na hivyo hakuwa na uhuru wa kweli katika hali hiyo.
Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba dhana ya uhuru wa chaguzi inahusu zaidi uwezo wetu wa kufanya maamuzi na kuathiri matokeo ya maisha yetu. Katika hali nyingi, tunaweza kuwa na chaguo huru katika maamuzi tunayofanya, lakini hatuwezi kudhibiti kabisa matokeo ya hali zisizoepukika au nguvu za asili.
Mafuriko ni mfano wa hali ya asili ambayo inaweza kusababisha madhara makubwa na hata kifo. Katika hali hiyo, mtoto hakuwa na chaguo la kuepuka matokeo hayo. Hii inaweza kuonekana kama kukiuka uhuru wake wa kweli. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa dhana ya uhuru wa chaguzi halisi inazingatia uwezo wetu wa kuchagua katika muktadha wa mambo yanayotulazimu.
Kwa hivyo, wakati inaweza kuonekana kuwa mtoto huyo hakuwa na chaguo huru katika suala la kifo chake kwenye mafuriko, dhana ya uhuru wa chaguzi inahusu uwezo wa kuchagua na kuathiri mambo tunayoweza kudhibiti katika maisha yetu.
Mfano wako unazidi kuonyesha huyo Mungu hayupo ila ni wa kufikirika tu.Kuelewa unachouliza unatakiwa ufanye summary ya mambo mawili
-mwenyez mungu anajua Kila kitu
-Binadamu ana free will.
Ukiweza kufanya hizo statment mbili ku Co-exist basi utakua umeshapata jibu la maswali yote ya juu.
Na ili uweze kuzifanya hizo statement ku Co-exist pamoja chukulia mfano wa computer ama game.
Developer anatengeneza Program ya computer anaweka maelfu ya features, Developer anajua features zote, wewe unatumia hio program una free will kuchagua feature yoyote ile ila hakuna feature hata moja ambayo utachagua ambayo developer haijui.
Mwenyez Mungu alitengeneza Dunia way before hata Binadamu wa kwanza hajakuja, Kila kitu kimeandikwa, wewe una free will kufuata ambavyo mwenyez Mungu ameweka, ila ni will yako inayoamua kufuata vitu vizuri vilivyowekwa na Mwenyez Mungu ama kufuata vitu vibaya.
Oya mbn Kila kitu unatumia chatgpt?Maoni yako ni ya msingi na yanategemea mtazamo wa "kujua kila kitu" kama dhana ya Mungu anayejua kila kitu kinachotokea, pamoja na maamuzi ya mtu binafsi. Katika muktadha huo, inaweza kuonekana kwamba hakuna chaguzi huru, kwani Mungu anajua tayari chaguzi ambazo tutafanya.
Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa suala la hatima na uhuru wa mwanadamu bado ni mada zenye utata sana katika falsafa na dini. Kuna mitazamo tofauti na maoni kuhusu uhusiano kati ya maarifa ya Mungu na uhuru wa mwanadamu.
Baadhi ya mitazamo inasema kwamba Mungu anaweza kujua chaguzi ambazo tutafanya, lakini hii haimaanishi kwamba hatuna uhuru wa kufanya maamuzi hayo. Inaaminiwa kwamba Mungu anajua maamuzi yetu kwa sababu yeye ni mwenye hekima na anaweza kutabiri mambo, lakini bado tunayo uhuru wa kufanya maamuzi yetu wenyewe.
Kwa hiyo, katika mtazamo huo, ingawa Mungu anajua chaguzi zetu, bado tunao uhuru wa kufanya maamuzi na kuchukua hatua katika maisha yetu. Mtu bado ana jukumu la kuchagua na kuwajibika kwa maamuzi yao, hata kama kuna uelewa wa Mungu juu ya hayo.
NKila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake mwenyewe kulingana na imani, utamaduni, na maadili yake mwenyewe.
Asante sana mkuu. 🙏a total nutcase
Nisamehe mkuu, najisahau muda mwingineAsante sana mkuu. 🙏
Hujakosea mkuu, kuwa na amani.Nisamehe mkuu, najisahau muda mwingine
Kama hakuna Mungu, Swali rahisi hili wasio amini Mungu wanaulizwa wanashindwa kutoa jibu, naomba na wewe ni jibu.Mfano wako unazidi kuonyesha huyo Mungu hayupo ila ni wa kufikirika tu.
Mungu mwenye upendo wote kwanini aweke feature ya vitu vibaya then atupe tucheze game akijua tutashindwa na vitu vigumu maana ni mjuzi wa yote, then anakasirika as if alikua hajui matokeo ya game tutakayocheza.
Kifupi story za Mungu ni abracadabra tu.
Hapo salsa[emoji848][emoji848][emoji848]Mungu muweza wa yote alihitaji wazungu walete dini africa, alishindwaje kuileta mwenyewe?