Nadhani wote tunakumbuka tulishirikishwa kutoa maoni ili yaingizwe kwenye dira hii, lakini cha kushangaza baadhi ya maoni hayakuzingatiwa na kuwekwa ikiwa na maana aidha yalikuwa hayana maana sasa ninachouliza kwa wenye uelewa ni utaratibu gani ufanyike ili malalamiko yawafikie walengwa au ndio basi tena