Mapungufu ya klabu yangu ya Yanga

Mapungufu ya klabu yangu ya Yanga

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,314
Reaction score
5,150
Wasalaam,

Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.

Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,

Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,

Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,

Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,

Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye

So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,

Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.

Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma

Timu zote zinategemea counter attack,

Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.

Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
 
Hii Ni DERBY mzee baba.......hatuwezi kucheza mpira wa kwenye kitabu......hapa ndipo ubora wa viungo wanaopiga mashoot unapoonekana

Feitoto

KDB.... man city
 
Kiukweli leo ilitakiwa muifunge simba goli km 4 hv. Ila ubaya na nyie wabovu tu wale wale
 
Hii Ni DERBY mzee baba.......hatuwezi kucheza mpira wa kwenye kitabu......hapa ndipo ubora wa viungo wanaopiga mashoot unapoonekana

Feitoto

KDB.... man city
Ahsante kwa mchango wako
 
Wasalaam,

Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.

Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,

Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,

Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,

Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,

Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye

So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,

Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.

Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma

Timu zote zinategemea counter attack,

Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.

Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
 
Kwani mechi ambazo walicheza walileta matokeo gani ya tofauti?
 
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Hivi chama n majeruhi kweli?

Mlipen pesa zake

Morrison kumbe mchezaji wenu eee?

Nacheka kwa zereuuu

Subir miaka 60 Ilinmpate kombe nchi hi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam,

Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.

Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,

Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,

Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,

Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,

Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye

So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,

Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.

Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma

Timu zote zinategemea counter attack,

Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.

Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Naunga mkono hoja mkuu... Sijaridhika pia. Kuna haja ya wachezaji kujituma sana.. shida ni wachezaji..hakuna kingine
 
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Mbona hata hizo hapo ni takataka tu... Mnatafuta vichaka sioo!!
 
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Misimu miwili mfululizo katika ligi wakati na kufunga hao hawa kuwepo?

Vp ngao ya hisani je?

Halafu nashangaa nyie si mnatutambiaga mna vikosi vitatu, ndani ya siku moja kimoja kicheza Mapinduzi up, kinginge na Yanga kwa Mkapa na kingine Chamanzi na Azam na mechi zote mnashinda. Bila kumsahau kwenye benchi yupo DON PABLO BIN MADRID aliye fundisha Real Madrid pamoja na Zidane.

Kwa hiyo leo ndio mnakumbuka mnamajeruhi,kwa leo mnakubali HAMNA KIKOSI KIPANA.
 
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Au sio?
 
Wasalaam,

Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.

Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,

Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale wapenda michezo wakisimamisha shughuli zao kwa muda,

Hatimaye mbabe kapatikana,simuiti mshindi kwasababu ushindi una tafsiri nyingi,

Namuita mbabe kwasababu Yanga na Simba kwa Sasa zote ni mbovu ila kinachofanyika ni kuwahiana tu,

Hebu fikiria,namna Yanga alivyotoa sare nyingi kiboya,yaani kilichotubeba ni idara ya ulinzi tu ikingozwa na golikipa mahiri Diarra ambaye Sina tatizo naye

So nilichokiona Leo kwenye timu yangu ya Yanga hakijaniridhisha hata kidogo wachezaji hawatulii,Wana papara forward inababaika tu,

Tumeshindwa kuifunga Simba ambayo kiungo hakijulikani,wachezaji laini laini wanagawanyika huku wakiruhusu njia za kupita.

Yaani Simba Kila akitaka kupaki basi,Yanga nayo inarudi nyuma

Timu zote zinategemea counter attack,

Kwa mwendo huu,kimataifa itakuwa ngumu sana.

Yote kwa yote hongereni Yanga kwa ushindi huku mkiwa macho kuwasubiri wagumu Azam kwenye final,japo na coast union nao si wa wabaya.
Kolo moja kasoro mkia
 
Mimi nawapongeza wachezaji wote kwa ushindi. Yaliyotokea yote ndani ya uwanja, ni sehemu ya mchezo. Hivyo naamini benchi la ufundi litafanyia kazi changamoto ndogo ndogo zote zilizo jitokeza ndani ya dakika 90.

Naomba kuwasilisha✍️
 
Lkn Yanga ikiwa mbovu iliwatandaka mpaka mkasema Yanga lengo lake ni kuifunga simba na simba lengo lake ni kua bungwa wa CAF.
 
Hii Ni DERBY mzee baba.......hatuwezi kucheza mpira wa kwenye kitabu......hapa ndipo ubora wa viungo wanaopiga mashoot unapoonekana

Feitoto

KDB.... man city
Mwambie huyo.. Mechi ya derby unataka Mpira wa kwenye kitabu wa kazi gani..?? kikubwa ni kushinda wewe huoni Sasa hv kitaani tumavimba.Me nimefurahi sana kumpakuwa kolo leo ujanja kuwahi
 
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
unajifariji tu ila kagoli kamoja kanauma mno!

Huu ni mwaka wetu wananchi mikia kubalini tu tumewazidi uwezo! hata wangecheza wote wenye majerubi bado tungewapasua tu , ili Simba iifunge Yanga lazima Yanga wacheze pungufu! Hakuna namna mtapigwa tu!
 
Hakuna timu ya kucheza mechi za kimataifa hapo. Kama imeshindwa kuifunga simba goli 3+ timu iliyojaza majeruhi basi itoshe tu kusema kuwa Yanga ni kakikundi ka wahuni. Yaani timu haina wachezi muhimu wa kikosi cha kwanza Napo mnaomba mpira uishe.

Manula[emoji777]
Kapombe[emoji777]
Mkukude[emoji777]
Chama[emoji777]
Morisoni[emoji777]
Bocco[emoji777]
Hamkosi sababu. Mikia ni mikia tu
 
Kati ya mechi nne msimu huu zilizokutana Simba na Yanga . Yanga kashinda mbili droo 2 Kati ya hizo mechi tatu walicheza hao wachezaji wako unaowategemea na hatukuona maajabu yoyote
 
Back
Top Bottom