seleke boy
Member
- May 11, 2014
- 11
- 1
Kale kabibi mkora shughuli imeisha...kana roho mbaya sn..ndio mana mgahawa unamdodea kwa show za watu wanne na wahudumu..
Huu uzi nilianzisha mwaka juz 2013 leo kile nilichosema kinainekana wazi!
amwombe msamaha Fa ili iweje?! Fa ni kibaraka tu wa Ruge na JK CEO wa Clouds.
Hivi kwanini mnamsakama sana jide?
Kumtetea huyu Demu yataka moyo. Jd ameathirika kisaikolojia, ugumba unamtesa... hapa ndo unapata jibu kuwa pesa haiwezi kununua furaha.
Kumtetea huyu Demu yataka moyo. Jd ameathirika kisaikolojia, ugumba unamtesa... hapa ndo unapata jibu kuwa pesa haiwezi kununua furaha.
unamaana angekuwa na watoto halafu hohehahe hana hata senti angekuwa na furaha sana au!?
Kuna msemo usemwao "Pesa Ndio Kila Kitu" ila sijawahi kusikia ikisemwa "Watoto Ndio Kila Kitu"
Pole kwa kutokunielewa.