Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Hakuna cha upungufu hapo mtu anaingilia maslahi yako na kutaka kukupokonya tonge lazima uwe mkali hata sisi tungefanya hivyohivyo,
 
Kazidi dharau huyo bibi. Ndomana safari hii kaachawa kwenye Kili Tour
 
Kale kabibi mkora shughuli imeisha...kana roho mbaya sn..ndio mana mgahawa unamdodea kwa show za watu wanne na wahudumu..
 
Kumtetea huyu Demu yataka moyo. Jd ameathirika kisaikolojia, ugumba unamtesa... hapa ndo unapata jibu kuwa pesa haiwezi kununua furaha.
 
uko sahihi sana kiongozi! uyu kikongwe ana mambo ya kimbwiga sana ameshasahau alikotoka na anahisi yeye ni mungu asikilizwe tu ata akieongea uchoko.
mxxxuuuuuuu
 
Kumtetea huyu Demu yataka moyo. Jd ameathirika kisaikolojia, ugumba unamtesa... hapa ndo unapata jibu kuwa pesa haiwezi kununua furaha.

unamaana angekuwa na watoto halafu hohehahe hana hata senti angekuwa na furaha sana au!?

Kuna msemo usemwao "Pesa Ndio Kila Kitu" ila sijawahi kusikia ikisemwa "Watoto Ndio Kila Kitu"
 
Pole kwa kutokunielewa.
 
Back
Top Bottom