Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma


Hizi taarabu tu hakuna kipya ukichoandika hapa!!, jaribu kujenga hoja sio kutukana bila bila mpangilio,usiwe mvivu wa kufikilia.Kwa nn unashindwa kijibu hoja kwa hoja.
Katika hija wangu sijamwongelea ruge kama unavolazimisha,..
Kuhusu kaz mi ninayo tena nzur ukitaka njoo nikuajil uache kushabikia upuuz......
 
kakq umesema kweli ila watu watajifanya kubisha!!! jay dee hataki na wenzake wapate yeye alichopata!! angesema mwanzo ningemwelewa ila kwa leo hii hapana!
yeye anamuita mwenzake mwanafatuma cku na yeye akiitwa mgumba makengeza asinune!!
Dada umeanza vizuri na wala mimi simtetei Jide ila ilo neon la mgumba na makengeza mi sikubaliani nalo.Anaweza kweli akawa na hayo mapungufu ila jukumu letu ni kumshauri na kumzidishia huzuni.We hujui ni mengi yanamkuta ila hawezi sema.Ivyo akifanya jambo la ajabu ni kumwombea tu ndo kilichobaki.Ye kama anadhihaki mwacheni kama nilivyoelezea
sio kosa lake.
 
uliyoongea ni kweli kama kuna wafuatiliaji wa magazine ya BAABUKUBWA GADNER aliwahi kuhojiwa kuhusu huyo mkewe alimsifia alivyoweza ila kikubwa akasema kama si yeye kuwa meneja wake na kumshauri vizuri basi Jide angeshapigana na watu wengi tu pengine na manundu angekuwa nayo,kisa huwa ni mkorofi ana hasira za karibu na hashauriki kuna wakati huwa anafanya kazi kubwa kumzuia kwenda kufanya fujo mahali mfano akiuziwa,mfano ni magazeti Fulani hapa aliwai kuwatukana matusi ya nguoni kabisa ila wao hawakwenda mahakamani nao walimlipizia kwa kumnanga kwamba kwa nini aliiba mume wa mtu?pia wakamwambia katika siku ambazo hawauzi gazeti lao ni siku anapokuwa amewekwa sura yake kwamba huwa hana mvuto iyo ilikuwa kwenye magaeti ya GLOBAL ila mi ninachoweza kusema hakuna msanii yoyote anayeweza kuwa staa pasipo na vyombo vya habari atajitangazaje mwenyewe?ivyo wanapokuwa wametofautiana ni vywma kukaa mezani kuliko kuanza kudhalilishana kama ivi.
 

Umenena,bora wasaidia wasio kuwa na kumbukumbu na huyu jaydee.,
 

mdau kua specific upo tanzania au nje ya Tanzania?????
 
Ahsante kwa kunifungua macho.
Nami ndo nagundua kua hata aina yake ya uandishi ndio hii hii!!
 
Ahsante kwa kunifungua macho.
Nami ndo nagundua kua hata aina yake ya uandishi ndio hii hii!!

Shule za kata kwel ni tatizo,mimi sio mwana Fa,mimi ni mdau wa muziki niyeegemea upande wowote,kamwe usikubali ubongo wako ukaongozwa na 'hisia binafsi za mtu' .....narudia Kamwe usiruhusu ubongo wako uongozwe na hisia binafsi za mtu,,tafakar kila unalosikia na pia kulipitia kwa kina.Sijatumwa na mtu kuja kusema kitu chochote hapa haya ni mawazo yangu tu.
 
Nimetokea kumchukia RUGE sana,nilikuwa simfwatilii sana Lady jaydee,lkn sasa nimemkazia macho sana huyu mdada,nilifikiri Ruge anafanyiwa husda,lkn kwanini iwe yeye tu kila siku!!!!,sisi wengine tupo mikoani tunakuombea,wachemke hao wanaojiona waungu watu kama USA.Utashinda tu.
 
Hivi huyu ana akili timamu kweli? Kwenye mziki kuna uzee kweli..aujui kwamba old is gold..wakina snoop,dre,madona,ngurumo,alichoki,shakira, chamilion,wahu,uwaoni? Huyo mwana fatuma si ndio alianza kutwitt upuuzi about jide..acha hizo wewe,
 
M2 mwenye akil ndogo kama wewe ndo anaweza kumpgnga jaydee...hli lpo waz fa ana2miwa kukandamza wasanii wengne...kumbuka enz ya antivirus....fa alihuska kuhujumu wakna sugu...leo fana jayde show zlikuwa 30th may nkasema maybe imetokea bahat mbaya ila last week jaydee kutangaza 2 tarehe 14june fa nae katangaza the same date..kama Si vita anatafta nini? amesahau fadhila kwa jinsi jaydee alivyo mbeba enzi anatoka....huko 2nakoenda wasani wote watamtenga....
 
masuke kamaliza...ila mwanaume kumsanukia demu hivyo sana nin noma...nshajua kwa nini anajiita commando...maaana kama kuna midume inamsanukia hivyo mpaka kuanzisha ids kwa ajili yake na bado anawakalisha kweli yeye COMMANDO
 
Kama kuna mwanamume anasapoti mwanamume mwenazame kuitwa jina la kike basi amamapungufu tena makubwa,na sidhan kama ni sahihi kwa lady jaydee kumwita mwenzake vile,hata kama wangetifautiana kivipi,kushabikia upuuz huu ni dalili mbali kwa mtu timamu.
Msilazimishe kila mtu afuate mawazo yenu
 
Mwana fa ana2miwa dhahiri, kwan nakumbk Sugu aliwah kufany interview na Salama Jabir kupitia kipindi chake cha mkasi, na alimshu2m mwana fa kam m2 anaye2miw kukwamisha harakati...sasa kwa hili analofany kwa jide inanifanya niamin maneno ya Sugu.
 
Unasema haupo Tanzania wakati ip adress inaonyesha upo bongo
KAJIPANGE TENA....ALAFU NDIO UANZE KUDANGANYA TENA!
 
Unasema haupo Tanzania wakati ip adress inaonyesha upo bongo
KAJIPANGE TENA....ALAFU NDIO UANZE KUDANGANYA TENA!

Sio kazima niandike nilipo,humu tuko huru,na ndo mana Watu hatutumii majina ya kwel, nikiandika nilipo haita kusaidia cha.msingi pinga ama teta mada kwa hoja,kutokuwa kwangu tz ama kuwa tz sio swala la.msingi ila inatakiwa ujue siko huko.
 
Asante kwa swali mkoroshokigoli,siki tz ni makosa ya kiuandishi,c unajua utaifa najihis kama niko tz,i mis ma country!!

kama huna la kufanya bora ulale aisee!!! Inaonesha wazi upo Tanzania alafu unatoa povu la bure tu!!?? Mwanafatuma mkubwa we!
 

kama huegemei upande wowote mbona hujaweka mapungufu ya FA a.k.a mwanafatuma?
 
Lady jdee hana mtoto jamani kwahiyo jaribuni kusoma na nyakati jamani.. stress zinamzidi
 
kama huna la kufanya bora ulale aisee!!! Inaonesha wazi upo Tanzania alafu unatoa povu la bure tu!!?? Mwanafatuma mkubwa we!

Hahaha shule za kata ni janga kwa kwel,una huyu nae anavotema mate!,yan huwez kabisa kujitetea kwa hoja hadi utukane???,hiki n kisiki utajikwaa kijana kaangalie matokeo.mapya kama.umevuta hadi four ya 34 utambe mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…