Asante kwa swali mkoroshokigoli,siki tz ni makosa ya kiuandishi,c unajua utaifa najihis kama niko tz,i mis ma country!!
Ila kwa kweli jd amekosea kumwita Mwanafa jina la kike, si bora hata angesema kibaraka tu!!! Halafu mimi nachukia mabeef ya kijinga, sasa kama hapa mwanafa nampenda ile mbaya infact hez my fav bongo flav male artist na jide ni my fav bongo flav female artist! Hata sijuwi mnatuweka wp mashabiki wenu. Ila kwa kweli mm naona jd huna washauri au hushauriki! Hukupaswa haya mambo kuyaweka mitandaoni! Kama vipi weka kwenye mistari shusha ngoma, atakaejigusa limempata! Ikishindikana wape makavu live. Lakini hii aarrrggg!!
Hizi taarabu tu hakuna kipya ukichoandika hapa!!, jaribu kujenga hoja sio kutukana bila bila mpangilio,usiwe mvivu wa kufikilia.Kwa nn unashindwa kijibu hoja kwa hoja.
Katika hija wangu sijamwongelea ruge kama unavolazimisha,..
Kuhusu kaz mi ninayo tena nzur ukitaka njoo nikuajil uache kushabikia upuuz......
Sina nia ya kurumbana na wewe,kesho nitaleta uzi wa mwana Fa hapa na kumchambua kama nilicofanya kwa jaydee leo.Mkuu huwezi ukaniajiri mimi, usijidanganye! Umeleta ushabiki wako hapa unataka uachwe, kama kweli ungekuwa muungwana usingeegemea upande mmoja, unataka kusema Jide ndio mwenye mapungufu peke yake? Badilika mkuu...acha ushabiki.
Tena mfuatilie huyu mbulura tujue anatumia service provider yupi na anaandika post zake akiwa wapi specifically. Wapuuzi huwa wanafikiri wakiwa kwenye internet hawawezi kujulikana waka wapi.Unasema haupo Tanzania wakati ip adress inaonyesha upo bongo
KAJIPANGE TENA....ALAFU NDIO UANZE KUDANGANYA TENA!
Tena mfuatilie huyu mbulura tujue anatumia service provider yupi na anaandika post zake akiwa wapi specifically. Wapuuzi huwa wanafikiri wakiwa kwenye internet hawawezi kujulikana waka wapi.
Tena mfuatilie huyu mbulura tujue anatumia service provider yupi na anaandika post zake akiwa wapi specifically. Wapuuzi huwa wanafikiri wakiwa kwenye internet hawawezi kujulikana waka wapi.
Unafurahisha wewe unajifanya uko nje, unaona ujiko wakati unabeba mabox tu na maisha magumu. Harafu unajiona unakazi kuliko wengine nani kakwambia sina kazi? Jamaa amekutrace ameona unatumia ip address ya bongo nimemwomba akutrace zaidi ili tujue uongo wako. Hukanushi na kujibu hoja kuhusu ip adress unaanza kusema wewe ndo unaweza kunifuatilia do it, nikuone utanifanyaje. Angalia nisikuwowe teh tehKijana huwezi kunifatilia.mm may be mm nikufautilie wewe,jitahidi sana kuwaza cha kujibu joja sio matusi bila.kujua hata uandike nn. Mburula huku milipo maana yake ni geneous!!, sa sjui unamaanisha nn,kijiweni hapo unapotoka tafuta kaz
Sifuati mkumbo labda wewe ndo unafuata, I know what I stand for.Kwan ubaya wa uzi wangu ni upi ama kwa kuwa niko tofauti na lady jaydee,acha ubivu wa kufikiria wewe umri unakutuhusu kujitegemea kimawazo na sio kusapot upuuz...,elimika usifuate mkumbo,unashabikia mziki ama matusi??
Lady jdee hana mtoto jamani kwahiyo jaribuni kusoma na nyakati jamani.. stress zinamzidi
Asante kwa swali mkoroshokigoli,siki tz ni makosa ya kiuandishi,c unajua utaifa najihis kama niko tz,i mis ma country!!
Tena mfuatilie huyu mbulura tujue anatumia service provider yupi na anaandika post zake akiwa wapi specifically. Wapuuzi huwa wanafikiri wakiwa kwenye internet hawawezi kujulikana waka wapi.
Unafurahisha wewe unajifanya uko nje, unaona ujiko wakati unabeba mabox tu na maisha magumu. Harafu unajiona unakazi kuliko wengine nani kakwambia sina kazi? Jamaa amekutrace ameona unatumia ip address ya bongo nimemwomba akutrace zaidi ili tujue uongo wako. Hukanushi na kujibu hoja kuhusu ip adress unaanza kusema wewe ndo unaweza kunifuatilia do it, nikuone utanifanyaje. Angalia nisikuwowe teh teh