Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Ila kwa kweli jd amekosea kumwita Mwanafa jina la kike, si bora hata angesema kibaraka tu!!! Halafu mimi nachukia mabeef ya kijinga, sasa kama hapa mwanafa nampenda ile mbaya infact hez my fav bongo flav male artist na jide ni my fav bongo flav female artist! Hata sijuwi mnatuweka wp mashabiki wenu. Ila kwa kweli mm naona jd huna washauri au hushauriki! Hukupaswa haya mambo kuyaweka mitandaoni! Kama vipi weka kwenye mistari shusha ngoma, atakaejigusa limempata! Ikishindikana wape makavu live. Lakini hii aarrrggg!!
 
Asante kwa swali mkoroshokigoli,siki tz ni makosa ya kiuandishi,c unajua utaifa najihis kama niko tz,i mis ma country!!

Acha uongo mkuu, kwani ukisema uko Bongo utapungukiwa nini mkuu? Ona sasa mtu mzima unaumbuka...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu....achana na fikra za kitumwa
 
Wale waleeee......kina shonza wapo kila mahali,nina maana wasaliti.....huyu bi fatuma long time amekuwa akishirikiana na clouds kukwamisha maendeleo ya sanaa na sijui ni ujira gani anapata,hata lilipokuja lile suala la studio iliyotolewa na rais kisha Ruge akaihodhi nakumbuka huyu fa alitumika sana kuaminisha umma kuwa ile studio ina manufaa kwa wanamuziki wote na sio kwamba ruge ameifunga tht......mwana fa jitambue,Jide alikupa sapoti kubwa sana mpk hapo ulipofikia.
 
Ila kwa kweli jd amekosea kumwita Mwanafa jina la kike, si bora hata angesema kibaraka tu!!! Halafu mimi nachukia mabeef ya kijinga, sasa kama hapa mwanafa nampenda ile mbaya infact hez my fav bongo flav male artist na jide ni my fav bongo flav female artist! Hata sijuwi mnatuweka wp mashabiki wenu. Ila kwa kweli mm naona jd huna washauri au hushauriki! Hukupaswa haya mambo kuyaweka mitandaoni! Kama vipi weka kwenye mistari shusha ngoma, atakaejigusa limempata! Ikishindikana wape makavu live. Lakini hii aarrrggg!!

Umenena mkuu
 
Hizi taarabu tu hakuna kipya ukichoandika hapa!!, jaribu kujenga hoja sio kutukana bila bila mpangilio,usiwe mvivu wa kufikilia.Kwa nn unashindwa kijibu hoja kwa hoja.
Katika hija wangu sijamwongelea ruge kama unavolazimisha,..
Kuhusu kaz mi ninayo tena nzur ukitaka njoo nikuajil uache kushabikia upuuz......

Mkuu huwezi ukaniajiri mimi, usijidanganye! Umeleta ushabiki wako hapa unataka uachwe, kama kweli ungekuwa muungwana usingeegemea upande mmoja, unataka kusema Jide ndio mwenye mapungufu peke yake? Badilika mkuu...acha ushabiki.
 
Sina nia ya kurumbana na wewe,kesho nitaleta uzi wa mwana Fa hapa na kumchambua kama nilicofanya kwa jaydee leo.
 
Unasema haupo Tanzania wakati ip adress inaonyesha upo bongo
KAJIPANGE TENA....ALAFU NDIO UANZE KUDANGANYA TENA!
Tena mfuatilie huyu mbulura tujue anatumia service provider yupi na anaandika post zake akiwa wapi specifically. Wapuuzi huwa wanafikiri wakiwa kwenye internet hawawezi kujulikana waka wapi.
 
Kwan ubaya wa uzi wangu ni upi ama kwa kuwa niko tofauti na lady jaydee,acha ubivu wa kufikiria wewe umri unakutuhusu kujitegemea kimawazo na sio kusapot upuuz...,elimika usifuate mkumbo,unashabikia mziki ama matusi??
 
Kijana huwezi kunifatilia.mm may be mm nikufautilie wewe,jitahidi sana kuwaza cha kujibu joja sio matusi bila.kujua hata uandike nn. Mburula huku milipo maana yake ni geneous!!, sa sjui unamaanisha nn,kijiweni hapo unapotoka tafuta kaz
 
Ni kweli ulichokisema kwamba amekosea kumuita hivyo ila umeshindwa kutofautisha aina za show na wahusika wenyewe, kumbuken kwamba hao wawil ni wasanii wakubwa inakuwaje waweke show sikumoja na iwe ndan ya mkoa mmoja?? Je kama ingekuwa ni msiba unadhani kwa majina yao kisanii wangezikwa siku moja??
Hii ni sawa na siasa

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Kijana huwezi kunifatilia.mm may be mm nikufautilie wewe,jitahidi sana kuwaza cha kujibu joja sio matusi bila.kujua hata uandike nn. Mburula huku milipo maana yake ni geneous!!, sa sjui unamaanisha nn,kijiweni hapo unapotoka tafuta kaz
Unafurahisha wewe unajifanya uko nje, unaona ujiko wakati unabeba mabox tu na maisha magumu. Harafu unajiona unakazi kuliko wengine nani kakwambia sina kazi? Jamaa amekutrace ameona unatumia ip address ya bongo nimemwomba akutrace zaidi ili tujue uongo wako. Hukanushi na kujibu hoja kuhusu ip adress unaanza kusema wewe ndo unaweza kunifuatilia do it, nikuone utanifanyaje. Angalia nisikuwowe teh teh
 
Kwan ubaya wa uzi wangu ni upi ama kwa kuwa niko tofauti na lady jaydee,acha ubivu wa kufikiria wewe umri unakutuhusu kujitegemea kimawazo na sio kusapot upuuz...,elimika usifuate mkumbo,unashabikia mziki ama matusi??
Sifuati mkumbo labda wewe ndo unafuata, I know what I stand for.
 
Mwanafatuma atabaki kuwa mwanafatuma na komando atabaki kuwa komando,amekaa kimya sn jide wacha aseme,mwanafatuma amewasaliti sn wasanii wa bongo kwa kuipoteza studio ya wasanii kwenda THT
 
The issue is, mwafa retweeted, tweets from his fans, wht followed jide decided to declare him as mwanafatuma
 
Asante kwa swali mkoroshokigoli,siki tz ni makosa ya kiuandishi,c unajua utaifa najihis kama niko tz,i mis ma country!!

Free ideas hawa VIJANA bhana ni binadam na kugombana ni kawaida tuwaache wafanye yao,na nadhan ww ni mfatiliaj wa muziki,JIDE ALIKUA KWA RUGE,MwanaFA mabaye jide anamwita MwanaFAtuma Ashashirikiana na JIDE kwenye ngoma kibao,sasa je kama wameamua ku-cook me na wewe hatujui,tuwaache tuendelee na yetu tukiwapuuza basi tutawapa nafas nao kutotushughulisha
 
Last edited by a moderator:
Tena mfuatilie huyu mbulura tujue anatumia service provider yupi na anaandika post zake akiwa wapi specifically. Wapuuzi huwa wanafikiri wakiwa kwenye internet hawawezi kujulikana waka wapi.

hehehhe hili swali nimemliza Free ideas kanambia yupo aburodi jaman ila kamisi nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Unafurahisha wewe unajifanya uko nje, unaona ujiko wakati unabeba mabox tu na maisha magumu. Harafu unajiona unakazi kuliko wengine nani kakwambia sina kazi? Jamaa amekutrace ameona unatumia ip address ya bongo nimemwomba akutrace zaidi ili tujue uongo wako. Hukanushi na kujibu hoja kuhusu ip adress unaanza kusema wewe ndo unaweza kunifuatilia do it, nikuone utanifanyaje. Angalia nisikuwowe teh teh

Mfa maji,fuatilia na ukishajua niko wapi uweke hapa pia.wazu wajue na zuone nani mwongo kat ya mm na wewe,sina.haja.ya.kurumbna na wewe usiye toa hoja bali jazba,lakini.asante pia kwa kusoma.uzi
 
Back
Top Bottom