Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma


Sawa sawa,kidogo umeonesha ukomavu hapa
 
Last edited by a moderator:

Bora kubeba mabox kuliko kukaa kijiweni,toa hoja ueleweke kijana acha uvivu wa kufikili na kukimbilia kulalamika.naheshim sana mchango wako japo unaonekana kuwa na jazba
 
masuke kamaliza...ila mwanaume kumsanukia demu hivyo sana nin noma...nshajua kwa nini anajiita commando...maaana kama kuna midume inamsanukia hivyo mpaka kuanzisha ids kwa ajili yake na bado anawakalisha kweli yeye COMMANDO

Kama dume linatabia za kike kwa nini lisipewe stahili yake jina la kijike? FAtuma ni tatizo hebu fuatilia feud yake na sugu utajua huyu jamaa ni CHOKO... RuGay atamtumia ka anavyowatumia mashoga wa XXL.. Au na wewe unapakatwa?
 
Mods I think mngezingatia hizi insults ambazo watu wanazitoa kwa hao wasanii jamani..na wao pia ni binadamu wana hisia,sidhan kama watakuwa wanafurahishwa na haya matusi ya nguoni ambayo wanapewa. Kila mtu ana haki ya kutoa mchango wake wa mawazo ila kukashifiana kwa matusi mazito...sio,hata kama wana mapungufu.Wao pia wana watu wao karibu ama ndugu wanaoingia humu..
USHAURI: Mods msiache haya mambo yafike hivi..hata kama ni uwanja wa free ideas. Put yourself in their shoes!
 
Sio kazima niandike nilipo,humu tuko huru,na ndo mana Watu hatutumii majina ya kwel, nikiandika nilipo haita kusaidia cha.msingi pinga ama teta mada kwa hoja,kutokuwa kwangu tz ama kuwa tz sio swala la.msingi ila inatakiwa ujue siko huko.

... We kibonzo elimu yako ni ya ki2mwa. Unatambua wazi kuwa mwana fa kaporora ndiyo maana ana2mika kukandamiza wenzake.
 
... We kibonzo elimu yako ni ya ki2mwa. Unatambua wazi kuwa mwana fa kaporora ndiyo maana ana2mika kukandamiza wenzake.

Nini maana kibonzi ,kaporora???,mtumwa ni nani kat ya anayeshbabikia matusi na anayepinga matusi!??
 
Sio kazima niandike nilipo,humu tuko huru,na ndo mana Watu hatutumii majina ya kwel, nikiandika nilipo haita kusaidia cha.msingi pinga ama teta mada kwa hoja,kutokuwa kwangu tz ama kuwa tz sio swala la.msingi ila inatakiwa ujue siko huko.

Broh kajipange tena alafu ndio ujee...mm nimechangia mada kwa kukosoa uwongo wako uliodanganya....naona ushapanik...samahan lakini.
 
jide natabia za kiswahili,mimi sioni mantiki yeye kukaa kwenye social media kuana kuandika upumbavu,anataka kila mtu ampe yeye attention wakati kuna wasanii kibao wanaofanya vizurifor sure anajidhalilisha na kuonyesha udhaifu wake pamoja na inferiority zake
 
We mleta mada nahs unaujizito wa kufikiri,wewe na jide nani anamjua mwanafa vizuri au unafikiri alikurupuka,kama alikurupuka mbona hakumuita mara ya kwanza,wakati walipopangakufanya show tarehe 31 may,pengne labda alijuwa ni coincidence tu,lakini mara ya pili pia fatuma kasubiria mpk jide atangaze na yeye ndio atangaze tare 14 hapo hata mimi uvumilivu ungenishnda,with all due respect hapa mwana fa kachemka na masters yake,
 

Umeona mbali,thax
 
mwanaume huwezi kutumika kwenye mambo ya kinafki.jde yuko sawa.
MWANAFATUMA
 

Sasa matusi ya nn bro,kwan usiandike kwa ustaarabu??,mbkna mi uzi wangu huu hauna matusi ama ndo wale wale wafa mji mnatapatapa??,
Una uhakika hani kwamba jide anamjua bizur mwanaFa??,kwan ni mke wake? Ninachokipinga hapa ni kitendo cha jide kumdhalilisha mwanFa kwa kumuita MwanaFatuma ama mwanahamis.
Usipende kuparamia mada na usipelekwe kama upepo.
 
Huyu ruge sjui anawapa nini? Mnatetea ujinga tuu. Halafu tuhuma za kuwa pale kuna mashoga wengi inawezekana zina ukweli mbona hawakanushi? Silence means?

Sasa kwa nini unataka wakanushe wakati uwezekano wa kuhakiki upo ? fanya utafiti acha uvivu.

Fanya hivi......tinga kanga moko ndembe alafu kakae pale getini kwao.....alafu utatuletea jibu, mbona simpo tu.
 
baadhi ya sehemu upo vizuri, na baadhi upo kimipasho zaidi....awapishe wengine ili iweje? mbona wakina madona, dolly parton wana miaka zaid ya 50 na bado wanaimba?
 
Alafu mbona tunapambana kana kwamba KUITWA jina la kike ni laana kum, kweli hivi ndivyo wanawake wote mnataka tuamini ? Kwa hiyo tuseme kina mama mnajutia kuwa wa jinsia/laana hiyo ?. kama unaamini kuwa kumpa mwanaume jina la kike inatosha kumdhalilisha, basi kila tunapowaita kwa hayo majina yenu tayari tunawadhalilisha.

***Marekani walikuwa na first lady anayeita Hilary...
***Ufaransa kulikuwa na mchezaji anaitwa Lilian Thuram....

Ila kama majina yenu yanafaa kutumika kama matusi mbadala poa, nami kuanzia leo mtu akiniudhi nitamuita Jeydee......

Ngoja nikumbuke nani amewahi kuniudhiiiiiiiii.........ok, babu aliposema ameoteshwa kikombe cha tiba alinikera
sana, na kuanzia leo namuita babu Jeydee wa loliondo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…