Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Hahaha shule za kata ni janga kwa kwel,una huyu nae anavotema mate!,yan huwez kabisa kujitetea kwa hoja hadi utukane???,hiki n kisiki utajikwaa kijana kaangalie matokeo.mapya kama.umevuta hadi four ya 34 utambe mtaani

34 ni division 0 na siyo four ,kama hujui mambo ya shule shule usione aibu kuuliza.
 
Nataman huyu Mwana Fatuma nimpumulie kisogoni na tatu za ukweli made in Mkuyati... Au wamasai, coz yupo Kama demu aiseee jamani nisaidieni nimpate nijilie 071...... Yake.
 
Alafu mbona tunapambana kana kwamba KUITWA jina la kike ni laana kum, kweli hivi ndivyo wanawake wote mnataka tuamini ? Kwa hiyo tuseme kina mama mnajutia kuwa wa jinsia/laana hiyo ?. kama unaamini kuwa kumpa mwanaume jina la kike inatosha kumdhalilisha, basi kila tunapowaita kwa hayo majina yenu tayari tunawadhalilisha.

***Marekani walikuwa na first lady anayeita Hilary...
***Ufaransa kulikuwa na mchezaji anaitwa Lilian Thuram....

Ila kama majina yenu yanafaa kutumika kama matusi mbadala poa, nami kuanzia leo mtu akiniudhi nitamuita Jeydee......

Ngoja nikumbuke nani amewahi kuniudhiiiiiiiii.........ok, babu aliposema ameoteshwa kikombe cha tiba alinikera
sana, na kuanzia leo namuita babu Jeydee wa loliondo...

Ha ha haaa,JF kuzuri sana
 
Kutukanwa atukanwe Mwanafatuma, kulalamika ulalamike wewe....................MAJANGAAAAAAAAAAAA.
Umechemka bro[/Q
Huu uzi unahitaji watu makini wanao jua kuchambua mambo sio wewe kijana.kaangalie kama mama amepika ule urudi kijiweni!
 
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika tweeter na kumwita mwana Fa mwanafatuma.Binafsi skufurahi kwa kuwa sioni sababu hasa ya wewe kumwita Mwana Fa mwanafatuma.Sababu hasa inayo sababisha wewe kumwita hivo ni kwamba unahisi kuwa karubuniwa na CLOUDS FM kukuhujumu kwa kuweka shoo yake siku na tarehe ambayo wewe pia ulikuwa na shoo.Lakini umesahau kuwa msanii hupangiwa shoo na promota lakini pia hutegemea ujira wake kutokana na shoo anazofanya.Ingewezekana vipi MWANA FA kukataa kufanya shoo tarehe 31,kisa wewe unafanya shoo???,kwani we ni nani hapa tz ampaka watu waahirishe mambo yao na kuweka atention kwako????.

Umesahau kuwa hata hayo maendeleo ulonayo umetoka huko ambako mwana fa anapigania kutoka ili miaka ijayo hata yeye awe na mgahawa wake kama wewe???,hakuna siku ambayo wewe umefanya shooo huku msanii mwingine nae anafanya sho mahala pengine??? Hata kama Ruge alihusika kupanga jabo hilo, mwana Fa inamhusu nini ugomvi wenu wewe na Ruge?? mpaka aahirishe kufanya shoo.?Kwa nini unalazimisha mawazo yako yafanane na ya watu wote??????,ugomvi wenu na Ruge usababishe kila kitu kismame??,kumbuka wewe sio mtu muhimu sana hapa tanzania japo una heshima kubwa sana katika muziki wetu.

Yafuatayo ni mapungufu yako jaydee.
1.Unadhani kwamba wewe ni mtu muhimu sana hapa tanzania kuliko wasanii wengine
2.Unaponzwa na kujiamini kusiko kuwa na tija na kudhani kuwa uko sahihi kwa kila unalolifanya
3.Umebweteka na sifa unazopewa na mashabiki katika mitandao ya kijamii na pengine
4 huna mahusiano mazuri na wasanii wenzako maana hata misibani umeanza kuonekana majuzi baada ya kushtukiwa kuwa huwa huendi
5.unashindwa kuamini kuwa sasa wakati wako umeisha na inabidi uwaachie akina recho na mwasiti kijiti
6.Umesahau kuwa na wewe pia ulitoka huko huko kwa Ruge na pia kama ni kuamrishwa ulikuwa unaamrishwa kama akina Fa

USHAURI-
1.Acha kujiona upo sahihi kwa kila jambo.
2.Shirikiana na wenzako katika kila hali sio kujitenga na kuwalaumu kuwa wanakusaliti kumbe wewe una umimi mimi tango kitambo.

3.Usilewe sifa za mashabiki ambao watakuponda baada ya muda ukisha poteza mwelekeo.
4.Nakushauri mwombe msamaha Mwana Fa haraka utavoweza.

wanajamii mnaruhusiwa kuchangia lolote katika hili....,

Huenda ulikuwa na nia Nzuri ya kumrekebisha Jaydee, Matokeo yake nawewe umeingia kwenye kundi la kumsifia na kumtukuza Lady Jaydee. Uliyoamini ni makosa amefanya kumbe ndivyo mtu mkamilifu anavyotakiwa kuwa. Kujiamini na kufanya mambo yanayomjenga kwenye Jamii. Pia ushsuri hauambatani na jaziba. Muhimu Vijana msikubali kutumika jitumikieni msije uza utu wenu.
 
kakq umesema kweli ila watu watajifanya kubisha!!! jay dee hataki na wenzake wapate yeye alichopata!! angesema mwanzo ningemwelewa ila kwa leo hii hapana!
yeye anamuita mwenzake mwanafatuma cku na yeye akiitwa mgumba makengeza asinune!!
nasema hivi mwanaFA ni mnafiki ana anasahili kabisa kuitwa mwanafatuma

namjua sana FA yaani angekuwa uarabuni kila siku angepgwa kombania , mjinga sana mwanaume unauza ubongo wako kwa fedha za kijinga.

mwana FA hawezi kummiliki mwanamke yeyote mwenye akili timamu labda yeye amilikiwe na akina Ruge
 
Kama dume linatabia za kike kwa nini lisipewe stahili yake jina la kijike? FAtuma ni tatizo hebu fuatilia feud yake na sugu utajua huyu jamaa ni CHOKO... RuGay atamtumia ka anavyowatumia mashoga wa XXL.. Au na wewe unapakatwa?
mwana fatuma anapakatwa kisha anapewa vijihela............dume zima linajiachia kwa RUGE kama jike la uwanja wa fisi manzese
 
Nataman huyu Mwana Fatuma nimpumulie kisogoni na tatu za ukweli made in Mkuyati... Au wamasai, coz yupo Kama demu aiseee jamani nisaidieni nimpate nijilie 071...... Yake.

images

MWANA-FATUMA,
images

MwanaFatuma
 
mwisho wa siku hawa wasanii wataanza kuuana hivi hivi.
na sasa kinachowagombanisha hawa ni haya maneno yetu na ukweli media na mashabiki wamechangia sana kugombanisha wasanii.

nayaona maugomvi ya akina FAT JOE NA WENZIE HAPA
 
mwisho wa siku hawa wasanii wataanza kuuana hivi hivi. na sasa kinachowagombanisha hawa ni haya maneno yetu na ukweli media na mashabiki wamechangia sana kugombanisha wasanii. nayaona maugomvi ya akina FAT JOE NA WENZIE HAPA[/QUha ha ha ha
 
Back
Top Bottom