Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

unapost na kujicomment mwnyw,,,,pumba tupu humo hata alekutuma mision failed,,,,,
 
waliokataa utumwa wanashtuka hawana uhuru.nan alisema haya?
 
Jide angeanzisha bifu kipindi kile yupo sawa sawa anapiga show milioni 5 hakuna Kama yeye Tanzania nzima na mimi ningemsapoti ila kaona kapotea kimziki ndo anaanzisha bifu ili apate kick,poor Jide,wenye hadhi za Facebook watamsapoti ila cyo huku
 
kakq umesema kweli ila watu watajifanya kubisha!!! jay dee hataki na wenzake wapate yeye alichopata!! angesema mwanzo ningemwelewa ila kwa leo hii hapana!
yeye anamuita mwenzake mwanafatuma cku na yeye akiitwa mgumba makengeza asinune!!

Kumuita mwanafatuma si kumuita kua ni gay(ms....nge), nitashangaa sana akiitwa mgumba coz hakupenda kua hivyo na hata hayo makengeza ndivyo alivyozaliwa! Hata kama unachuki kiasi gani huwezi kurekebisha uumbaji wa Mungu! Sio fan wa msanii yoyote lakini sijapendezwa na maneno yako!
 
She has an arrogant and false sense of entitlement. Even worse, she thinks she is the shit when she ain't.

Her music is shitty and her attitude is woeful. She needs an attitude adjustment.

vanity upon vanity
 
kakq umesema kweli ila watu watajifanya kubisha!!! jay dee hataki na wenzake wapate yeye alichopata!! angesema mwanzo ningemwelewa ila kwa leo hii hapana!
yeye anamuita mwenzake mwanafatuma cku na yeye akiitwa mgumba makengeza asinune!!

we ukoje?
Weka hapa picha yako kwanza,
 
Mtoa mada cjui akili zake zipo kwenye nini cjui ni kikongwe akili zinafifia wala cjui au naye ni mwanafatuma???
 
Mtoa mada cjui akili zake zipo kwenye nini cjui ni kikongwe akili zinafifia wala cjui au naye ni mwanafatuma???

Mfa maji,ni bora ujibu hoja kwa hoja sio matusi,maana unaonesha ni jinsi gani hujakua
 
Tatizo hapa ni hawa clouds fm kwa nn wao tu ndo shutuma zote kwao kuna jambo hapa si bure! Kuna redio ngapi hapa nchini kwa nn wasanii walalame kwa redio hii tu? Na pili mwana fa ndo alianzisha bifu na huyu dada so kwangu mie mwanaume kufanya mipasho na binti naona alichokipata ni haki yake kabisa teamanaconda #wapigeni tu, maana hata sisi tumechoka sasa!#

Sent from my Nokia 3310 using JamiiForums
 
nimekujibu ipasavyo

Hujanijibu ipasavyo maana umekurupuka,tifauti na hapo una upeo mdogi sana wa kufikiri maana huwezi kujibu hoja kwa tusi nawe ukajiita mwanaume na kusema umejibu ipasavyo
 
Back
Top Bottom