mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kuna goli la wazi alikosa! Daa ila ndo soka ilivyo! Nashauri Thomas Ulimwengu aanzie benchi! Mabeki wa kati pamoja na Mudadhiri [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Kipindi cha kwanza hawajacheza vyema ila kipindi cha pili wamebadilika na kuanza kutafuta bao.
Ila Samatta samahani sana, Sijaona akicheza kama nahodha amezidiwa na Msuva.
Ulimwengu nae ni Kiazi tu hana kitu bora nafasi yake ingebaki hata wazi hakuna alichoongeza wala kupunguza.Kuna goli la wazi alikosa! Daa ila ndo soka ilivyo! Nashauri Thomas Ulimwengu aanzie benchi! Mabeki wa kati pamoja na Mudadhiri [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Yah huyu Kocha nae hakuona kuwa Ulimwengu ni mzigo afanye mabadiliko ya mapema.Kapombe pengo lake mimi nili liona na Ulimwengu angetolewa second half mapema aingie Chilunda
Nahisi bocco angekuwepo ange anza na samatta. Ile mechi ya Lesotho tulizengua leo tume jitahidi sana. Timu za Afcon 2019 zitakua 24, kwa kundi hili tusipo ingia tuta kua wachovu sana.Yah huyu Kocha nae hakuona kuwa Ulimwengu ni mzigo afanye mabadiliko ya mapema.
Kweli mkuu! Kocha angemwamini yule dogo Chilunda! Ulimwengu awe anaanzia benchi! But timu imecheza vema hasa kipindi cha piliUlimwengu nae ni Kiazi tu hana kitu bora nafasi yake ingebaki hata wazi hakuna alichoongeza wala kupunguza.
Hivi Aishi Manula anacheza timu gani?Stars Bila Simba inawezekana
Anachezea mtibwaHivi Aishi Manula anacheza timu gani?
Tulimuona Manula hata kabla hamjaanza kuponda kuwa mtaizomea Stars,leo mnaanza Manula yupoHivi Aishi Manula anacheza timu gani?
Lakini si uliona jinsi walivyombana..Kipindi cha kwanza hawajacheza vyema ila kipindi cha pili wamebadilika na kuanza kutafuta bao.
Ila Samatta samahani sana, Sijaona akicheza kama nahodha amezidiwa na Msuva.
Lakini si uliona jinsi walivyombana..