mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Habari wadau naombeni mniambie kama Leo tulivyoangalia mechi ya timu yetu dhidi ya Uganda mapungufu yalikuwa wapo? na je kunapengo la mchezaji wa simba lilionekana miongoni mwq wale walioenguliwa kwenye kikosi wakitokea simba na moja wa yanga ? naombeni maoni yenu