Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

"samia yeye anakuja na mbinu ya kuwabembeleza walipa kodi"

Nope Nope No.
Her methods ni kodi ilipwe kwa kufuata sheria. sio kubembeleza mtu.
Utawala uliopita ulikuwa aggressive kwenye kodi kiasi kwamba walikuwa hawaziachi biashara za watu salama.
Yes walifanikiwa lakin walikuwa wanaacha trail of distruction nyuma.
Kwani sheria si imekuwepo siku zote mbona wafanyabishara hawakua wanafuata hiyo sheria?

Sheria kuwepo na sheria kufuatwa ni vitu 2 tofauti.

Hao mnaoenda kuwaomba misaada huko Ulaya hawabembelezani pamoja na kua sheria ipo lakini hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi kwa utaratibu, hakuna.

Sasa nyie wabembelezeni mtavuna mabua.

Magufuli kwenye kodi,naungana nae 100%.
 
Back
Top Bottom