Mapungufu ya viongozi wanawake ni kuogopa wenzao

Mapungufu ya viongozi wanawake ni kuogopa wenzao

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Tatizo la viongozi hawa Mama zetu ni kwamba wanaogopana wenyewe kuliko kuogopa viongozi wanaume. Tuone tu mfano wa huyu Mama

Viongozi wote wanawake ambao yeye mwenyewe ndiye alikuwa anataka kuwa kama wenyewe ndiye wa kwanza kuwaogopa.

Akiona wanapata sifa zaidi yake Mama Samia amekimbilia kuwatoa badala ya kujifunza. Viongozi wanawake wanaondolewa kwa mambo binafsi zaidi wakati viongozi wanaume wanaondolewa kwa ufanisi na utendaji wa kazi.

Lakini ukiangalia kwa undani viongozi wanawake wana akili , sio wala rushwa na ni wafanyakazi wazuri kuliko hao waliopo.

Lakini unaweza tu ukavaa vizuri kuliko malkia wetu ukafukuzwa. Umi alisema tunahitaji zumbe kwenye uongozi ambayo maana yake ni Machief kwa kisambaa leo kafukuzwa.

Mama Mulamula alipendwa na Marekani leo kafukuzwa. yaani ni ujinga ujinga. Wengine wanaogopwa kwasababu wana akili sana kama huyo Mama wa kipare aliye kuwepo UN


1737577066994.png


1737577140874.png

1737577231540.png

1737577292950.png
 
Back
Top Bottom