Mimi makuzi yangu ni rather complicated kidogo kama alivyosema
nyumba kubwa na mimi nitaongelea hali halisi badala ya theory.
Baba yangu alikuwa msomi sana na alipenda sana ku critique karibu kila kitu na pia alipenda sana kusoma. Mbali ya hayo lakini pia alikuwa ni rafiki alitu treat kama marafiki mara nyingi naweza kukumbuka mara chache sana alipojaribu kutuchapa hasa pale utundu wetu ulipomzidia na hata kuchapa kwenyewe tulifanya kutafuta fimbo wenyewe na kukinga viganja huku tukimcheka kwani alikuwa anatuchapa kiudhaifu kweli.
Sasa kwa upande wa udhaifu wake ulikuwa ni ulevi sana pia alikuwa ni mbishi asiyetaka kuambiawa chochote, it was his way or the highway.
Kwa upande wa mama alikuwa ni mtu kwa maneno ya staha ni kama alikuwa confused, yani ni kama hakuwa na formula, alitupiga, alitutukana na pia hakuwa na muda wa malezi yetu na mwishowe aligeuka ku seek sympathy yetu pale ndoa ilipoenda mrama.....she would use us to serve her interests and she was/is manipulative yaani in short when i think of my mother i get confused. Nikiangalia malezi yangu kati ya wazazi wangu mimi naona i had to learn the hard way, nothing was done purposely to instill any values in me, i was rather a spectector in two people's union which sadly ended up in turmoil....so was i loved? Yes. By two misguided parents.
Sasa nimekuwa mtu wa aina gani?
I had to learn things from very tender age of 7....kujua ulevi ni nini, ugomvi ni nini nk. Ajabu yangu mimi si mtu mgomvi na wala si mlevi lakini i think nimechukua au kurithi tabia ya Baba ya kupenda kusoma na ku critique vitu, na kubwa ya yote i think i turned out to be a mix of lots of things....in a good and bad way.....sina any kind of resentment or anger toward my parents and i think i love them