Kwa mtu ambaye hajui kiswahili hata kama video ingekuwa inaonesha kinacho ongelewa asingeweza kuelewa! Kwa hiyo hoja yako kuwa video haiwezi kueleweka kwa wasio jua kingereza sababu story ya wimbo haionekani ...hoja yako haina mashiko kabisa maana kama mtu hajui kiswahili hajui tuu!
Ni kweli kabisa Video ya Alikiba ina mapungufu pamoja na video kuwa na story tofauti na ya wimbo!
Nilitegemea story ya wimbo kuonekana lakini sivyo!
Lakini lazima tuzingatie kuwa video ukiiangalia ina story ya kijana aliye amka na kwenda kukagua ma stage show wake kwaajili ya maandalizi ya show halafu baadae anapiga show!
Video hii haikukidhi matarajio ya wengi na kile kilicho tarajiwa lakini amejitahidi!
Mkuu ile story iliyochafua hali ya hewa ilikuwa ya kweli au uzushi tu?
Wimbo una maudhui mengi aikua lazima aoneshe yote
Kaonesha maudhui ya dance inatosha
Alafu muziki n hica kama mtu ajui kiswahili ajui tu
Binafs naangalia nyimbo za kina big Sean ,jay zee n.k ckijui kingreza na video zao awaoneshi kilichoimbwa
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.
1.video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.
Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.
Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.
Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.
Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani
Umefungwa aisee.! Yule jamaa alichafua hali ya hewa, ametukost wote.
Tusiishi Kwa Kukariri Jaman
Saa hizi ndio unaona cost yake eeh?
Ulivyokua unashangilia ulikua huyajui haya
Jamani ya Jana yameisha ila majibizano ya Jana yalikuwa hayajengi badala yake ilikuwa ni kuharibiana tu
nifah tulia hali ya hewa imesha anza kutulia but ndio hivyo burudani imepungua sana hapa jamvini daah wajinga wachache wame tupotezea direction.
Nimekuelewa mkuu
Video nzuriiii, ila kwa daimond...kiba badooo badooo yupo down saaana hawziiii kufurukutaaaaa
Yani jukwaa limepoa!tufungue nyuzi nyingine,wale walikua sio washabiki wala nini...wamenibore sana!!Simaanishi nataka kuyarudisha yale malumbano...lah
Jana pia nilikua siyataki.Jukwaa halina burudani kabisa.
Ila tutafungua nyingine tu,haiwezekani! Au unasemaje chinga
Yani jukwaa limepoa!tufungue nyuzi nyingine,wale walikua sio washabiki wala nini...wamenibore sana!!