Mapungufu yaliyopo kwenye video ya Ally kiba (Mwana Dsm)

I need clarification,video ya Mwana ipo blocked USA ina contents za SME ndo nn...I knw ni issue za copyrights,so prpbably viewers watakuwa wachache.Got from u-turn.
 

Anza kuleta mazuri uliyoyaona kwenye hiyo video usikimbilie mapungufu tu.
 
Mimi kwa wakorea hunitoi...siwezi kuangalia mapenzi ya kihindi kukimbizana kama kuku....lol
Hahaha wanaita "mohabbat" wenyewe, kuna viseries vizuri navifatilia na vina mafunzo mengi apart from mahaba
 
kulikua na haja gani ya kufanya controversial na diamond wakati unajua ni adui wake

Diamond au Ally wameongea wapi kwamba ni maadui.??

ACHA KUWASEMEA. HILI NI BATTLE LETU FANS TU, ILI KUWAPA CHANGAMOTO.
 
Wamenikera kweli.
Siku zote hizo wapo na matola kwenye majukwaa yao kwanini wasingemuibukia hukohuko? Au wamfate kitaa si kuna ustawi wa jamii? Kama kweli jamaa wanamfahamu!!

Usijali tutafungua mwingine,ila itabidi tuwapotezee wajinga wajinga kama hao lisije balaa jingine
 
Wamenikera kweli.
Siku zote hizo wapo na matola kwenye majukwaa yao kwanini wasingemuibukia hukohuko? Au wamfate kitaa si kuna ustawi wa jamii? Kama kweli jamaa wanamfahamu!!
Ha ha ha!!nacheka kama mazuri yani!!Kuna watu visoropwingo sana yanii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…