Mapungufu yaliyopo kwenye video ya Ally kiba (Mwana Dsm)

Simaanishi nataka kuyarudisha yale malumbano...lah
Jana pia nilikua siyataki.Jukwaa halina burudani kabisa.
Ila tutafungua nyingine tu,haiwezekani! Au unasemaje chinga

mods wame pania kikweli kweli nime fungua upya uzi wa diamond umefutwa fasta,kwa mantiki hiyo hawataki special thread za kiba na mond huku ni kunyimana burudani kabisa.
 
Last edited by a moderator:
mods wame pania kikweli kweli nime fungua upya uzi wa diamond umefutwa fasta,kwa mantiki hiyo hawataki special thread za kiba na mond huku ni kunyimana burudani kabisa.

Sasa kwa dizaini hii wanataka tufanye nini jamani?
Tumeshajifunza kutokana na yale ya jana,tukianzisha nyingine tutakua wastaarabu.
Ila chinga yote haya yameletwa na fans wenzio wa domo.
 
Last edited by a moderator:
mods wame pania kikweli kweli nime fungua upya uzi wa diamond umefutwa fasta,kwa mantiki hiyo hawataki special thread za kiba na mond huku ni kunyimana burudani kabisa.

Ha ha!!kwan uzi kama uzi wa fans haukua na shida ndiyo zikaja chafuka zilistahili kufutwa,sasa y kufuta uzi mpya!naanza kuamini mode wapo under influnce...
 
Au tufungue nyuzi kwa kutumia majina yenye codes,badala ya dai mnaandika jambo lolote alilofanya au jina lingine na badala ya Ally K tunatumia kitu kingine maybe file lake!!(Modes mnakera)!
 
Sasa nimejitahidi na kujifaraguuua wee Ccnifah
 
Sasa kwa dizaini hii wanataka tufanye nini jamani?
Tumeshajifunza kutokana na yale ya jana,tukianzisha nyingine tutakua wastaarabu.
Ila chinga yote haya yameletwa na fans wenzio wa domo.

Alie anzisha ile ishu ni jamaa anaitwa SAMUEL KIWELU,baadae matumbo Ritz na mtvbase waka ishikilia bango....binafsi sijawahi muona Ritz kwenye hili jukwaa na huyo samuel ni mpya kabisa kwangu....wame haribu sna jana.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha!!kwan uzi kama uzi wa fans haukua na shida ndiyo zikaja chafuka zilistahili kufutwa,sasa y kufuta uzi mpya!naanza kuamini mode wapo under influnce...

Mods ina bidi wafanye kusahau yaliyo pita warudishe furaha ya hili jukwaa otherwise wata tufukuza humu ndani.
 
Mods ina bidi wafanye kusahau yaliyo pita warudishe furaha ya hili jukwaa otherwise wata tufukuza humu ndani.

Yaani mimi ni bora nishinde PM tu maana hakuna jipya huku jukwaani.
Zile nyuzi zilikua poa sana,sijui tuwashawishi vipi watuache tufurahi.
Ila itabidi uwape darasa watu wako wawe wastaarabu walau kama wewe.
 
Daah una jua kubadili tabia ya mtu ni kazi sana kuna watu wamezaliwa waluwalu so ukijifanya kuwafatilia unaweza ukajikuta una kula matusi hata hamu ya kuingia jf inapotea.
 
Daah una jua kubadili tabia ya mtu ni kazi sana kuna watu wamezaliwa waluwalu so ukijifanya kuwafatilia unaweza ukajikuta una kula matusi hata hamu ya kuingia jf inapotea.

Chinga nakukaribisha hata wewe unipe ulijualo juu ya maisha ya mfalme...nlilenga kuendeleza thread ya Kiba sijui kama nitafanikiwa!
 
Saa hizi ndio unaona cost yake eeh?
Ulivyokua unashangilia ulikua huyajui haya

Tatizo hizo ID's zao fake ndio zinazowatoa akili, zinawapa ujasiri wa kiuwendawazimu. Wanajidanganya kuwa hawajulikani, kwangu hawawezi kujificha kwa ID's fake. Mtu hunijui wala sikujui, lakini unaidharau. Hivi siku moja tukijuana, watasimama wapi hawa watu?
Ova
 
Sijui watasimama wapi!Hizi fake ID's zinasaidia sana.
 
Utasemaje Tujadili Madhaifu Pekee Yake kwan Hakuna Alipofanya vizur..? Pili kwan umelinganisha Moja kwa Moja Na video Ya Ntampata wap kwan na yenyewe Haina Madhaifa..? N bora Kukaa Kmya Kama Huna Cha kuandika

cha kuandika anacho labda useme ameandika kile usichopenda kuskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…