Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Alafu ujue wale ni kama babu zetu ila vigodoro vyao usipime!!Usijali tutafungua mwingine,ila itabidi tuwapotezee wajinga wajinga kama hao lisije balaa jingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu ujue wale ni kama babu zetu ila vigodoro vyao usipime!!Usijali tutafungua mwingine,ila itabidi tuwapotezee wajinga wajinga kama hao lisije balaa jingine
Simaanishi nataka kuyarudisha yale malumbano...lah
Jana pia nilikua siyataki.Jukwaa halina burudani kabisa.
Ila tutafungua nyingine tu,haiwezekani! Au unasemaje chinga
mods wame pania kikweli kweli nime fungua upya uzi wa diamond umefutwa fasta,kwa mantiki hiyo hawataki special thread za kiba na mond huku ni kunyimana burudani kabisa.
Eti wanasema JF ni yao na wao ndo modes!!
mods wame pania kikweli kweli nime fungua upya uzi wa diamond umefutwa fasta,kwa mantiki hiyo hawataki special thread za kiba na mond huku ni kunyimana burudani kabisa.
Sasa kwa dizaini hii wanataka tufanye nini jamani?
Tumeshajifunza kutokana na yale ya jana,tukianzisha nyingine tutakua wastaarabu.
Ila chinga yote haya yameletwa na fans wenzio wa domo.
Ha ha!!kwan uzi kama uzi wa fans haukua na shida ndiyo zikaja chafuka zilistahili kufutwa,sasa y kufuta uzi mpya!naanza kuamini mode wapo under influnce...
Mods ina bidi wafanye kusahau yaliyo pita warudishe furaha ya hili jukwaa otherwise wata tufukuza humu ndani.
Yaani mimi ni bora nishinde PM tu maana hakuna jipya huku jukwaani.
Zile nyuzi zilikua poa sana,sijui tuwashawishi vipi watuache tufurahi.
Ila itabidi uwape darasa watu wako wawe wastaarabu walau kama wewe.
Daah una jua kubadili tabia ya mtu ni kazi sana kuna watu wamezaliwa waluwalu so ukijifanya kuwafatilia unaweza ukajikuta una kula matusi hata hamu ya kuingia jf inapotea.
Daah una jua kubadili tabia ya mtu ni kazi sana kuna watu wamezaliwa waluwalu so ukijifanya kuwafatilia unaweza ukajikuta una kula matusi hata hamu ya kuingia jf inapotea.
Usijali tutafungua mwingine,ila itabidi tuwapotezee wajinga wajinga kama hao lisije balaa jingine
Ha ha ha!!nacheka kama mazuri yani!!Kuna watu visoropwingo sana yanii!
Saa hizi ndio unaona cost yake eeh?
Ulivyokua unashangilia ulikua huyajui haya
Tatizo hizo ID's zao fake ndio zinazowatoa akili, zinawapa ujasiri wa kiuwendawazimu. Wanajidanganya kuwa hawajulikani, kwangu hawawezi kujificha kwa ID's fake. Mtu hunijui wala sikujui, lakini unaidharau. Hivi siku moja tukijuana, watasimama wapi hawa watu?
Ova
Utasemaje Tujadili Madhaifu Pekee Yake kwan Hakuna Alipofanya vizur..? Pili kwan umelinganisha Moja kwa Moja Na video Ya Ntampata wap kwan na yenyewe Haina Madhaifa..? N bora Kukaa Kmya Kama Huna Cha kuandika
Haha haaaa,kuch kuch.....naipenda lakini sijui ina maana gani!