IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,915
- 5,233
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha kwenye video zinazofuata.
1.video hii itatamba sana hapa nchini Tz labda na east Africa tu ila itapata shida sana kutamba katika nchi zisizojua kiswahili kwa sababu video ya wimbo haielezei uhalisia wa maudhui wa nyimbo husika.
Kiufupi mtu asiyejua kiswahili hawezi kujua wimbo unazungumzia nini.
Kwa wale ambao hamjanielewa,wewe mtanzania unayejua kiswahili jaribu kuangalia video wakati sound ipo silent kama utaelewa video inazungumzia nini.
Halafu angalia video ya diamond ya NITAMPATA WAPI bila sauti.
Wewe mwenzangu umeona mapungufu gani