A
Anonymous
Guest
Mwaka jana pia waliambiwa watalipwa nusu lakini Kwa kuvutana sana wakalipwa 1,050,000 ambayo sehemu nyingine pia wamelipwa hivyo na Halmashauri zao.
Je, Serikali inaleta mapunjo ya fedha hizo za kujikimu na posho Kwa Mbulu DC pekee na si kwingine kila mwaka?
Sasa hivi tunaambiwa tupokee fedha nusu halafu wanaandika barua TAMISEMI ili zije nyingine huo so uongo huo jamani?
Sisi hatusaini fedha nusu hata kidogo hatukubali kwanini kila mwaka mpka external force zitumike ndo tupate fedha