A
serikali sio ya kubishana nayo, wenzio tupo mtaan tangu mwaka 2013 tumalize chuo tunatubu tu hakuna cha ajira wala nnUmelipwa kias gan na mlitakiwa mlipwe vipi?
Serikalini Raha Sana, mnapewa pesa za bure?Mwaka jana pia waliambiwa watalipwa nusu lakini Kwa kuvutana sana wakalipwa 1,050,000 ambayo sehemu nyingine pia wamelipwa hivyo na Halmashauri zao.
Je, Serikali inaleta mapunjo ya fedha hizo za kujikimu na posho Kwa Mbulu DC pekee na si kwingine kila mwaka?
Sasa hivi tunaambiwa tupokee fedha nusu halafu wanaandika barua TAMISEMI ili zije nyingine huo so uongo huo jamani?
Sisi hatusaini fedha nusu hata kidogo hatukubali kwanini kila mwaka mpka external force zitumike ndo tupate fedha
hehehhehehheeeeSerikalini Raha Sana, mnapewa pesa za bure?
Kama akili za watanzania ndio hizi basi tunayo safari ndefu sanaa🚮🚮serikali sio ya kubishana nayo, wenzio tupo mtaan tangu mwaka 2013 tumalize chuo tunatubu tu hakuna cha ajira wala nn
we umefanikiwa kupata ajira na unapewa pesa ya kujikimu bado unatishia kujamba
acha kazi bas nafas yako tuje kuchukua sisi tuliopigika na maisha uku kitaa
mi naingia hata bila pesa ya kujikimu kikubwa tu mwisho wa mwezi mshahara usome