Mapya sakata la Lusako: Polisi wafunga reply kwenye account yao

Ktk wale watu 9, mmoja tu ndiye polisi (yule aliyejulikana kwenye utekaji wa bonge), lkn wengine wote ni wafungwa toka gereza nalofanyia kazi mm.

Hivi tunavuoongea wamesharudishwa gerezani na yule askari yuko nyumbani kwake na mkewe.
Kwahiyo hadi wale wadada pia ni wafungwa
 
Raia sasa wamekuwa na uwezo wa kufikiri na kutenda kwa haraka kuliko Polisi .
Tunakoelekea ,walio wengi watakuwa na uwezo wa kuwa na polisi mtandao
 
Ktk wale watu 9, mmoja tu ndiye polisi (yule aliyejulikana kwenye utekaji wa bonge), lkn wengine wote ni wafungwa toka gereza nalofanyia kazi mm.

Hivi tunavuoongea wamesharudishwa gerezani na yule askari yuko nyumbani kwake na mkewe.
Ukiangalia zile mbwembwe za kamanda Unajua anasema uongo wala huhitaji D mbili. Mwezi mzima walikuwa wanaandaa sinema.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom