Mapya ya elimu mulugo


Highest degree ya ujinga.....ebu kajipange we mtoa post c vizuri kuzihirisha ujinga wako kwa watu wanaofikiri....
 
Highest degree ya ujinga.....ebu kajipange we mtoa post c vizuri kuzihirisha ujinga wako kwa watu wanaofikiri....

Hapo umeongea au umetapika? ni ujinga ulioje kuonyesha frustration zako hadharani kuna substance gani hapo unabweka tuuu kama jibwa kichaa shusha hoja watu wauone ujinga wao wenyewe sio kutoa u.h.a.r.o. wa moto mbele za watu na kama wewe ndiye mulugo tunajua ndio zako hizo; you only have a sick mind
 
Mtoto wa darasa la pili afundishe darasa la tano? Tena hesabu?

Hesabu za darasa la pili ni kujumlisha, kutoa (za kukopa kidogo), kugawanya (njia fupi au ndefu bila baki) na kuzidisha.

Darasa la tano tayari tunazungumzia hesabu za sehemu, decimali, masaa, maumbo kama msitatili, mraba, pembe tatu. Bila kusahau ankra, asilimia, vipeo na vipeuo. Sasa dogo wa la pili anagusaje hapa? Darasa la tano ni mziki mwingine wewe, usitudanganye.

Kwa kawaida darasa la kwanza na la pili ni darasa la maksi mia mia, ukifeli sana 90 (hapa umefeli kweli), maana unaweza kuwa na wastani wa 90 hafu kwenye 20 bora haumo, sasa mwanao kashindwa kufikisha 70% unalalama eti mwanao ni kichwa, tupa kule.

Kama vipi mtafutie shule nyingine ambayo haina mitihani!
 
Naona unatafuta popularity ya kwamba unasomesha private
Binafsi sidhan kama ni sahihi kupost hyo habari hapa kwa sababu tayar ktk post yako umesema utaratibu wa shule ni huo manake hata ww ulikubaliana nao wakat unamwandikisha mtoto wako drs la kwanza sasa Mulugo kahusikaje
 
Kawaida kamanda, st florence mikocheni waliniletea barua kwamba wastani ni 65 bila hivyo mtoto atarudia darasa. Yupo la pili anaingia la tatu. Mwanangu akapiga 85.4. So ni utaratibu wa shule mkuu
 
Ni utaratibu wa shule hiyo -- si wa Wizara au waziri, ambao kama mzazi ulipaswa uufamu na kuuridhia wakati mwanao anajiunga na shule hiyo! Na hili si jipya, shule nyingi tu za binafsi zina wastani wao ambao mara zote huwa juu ya ule wa Wizara
safi sana,imekaa vizuri hiyo!
 
Hahahahahaha!
 

Kuna shule inaitwa REMNANTS daah sasa sijui wanafunzi nao watasadifu jina la shule.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…