Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Bora walete mpya maana ile imechosha na ni kweli ubora ulikuwa finyu sana nashangaa director ni Raqey mpiga picha wa Rais Zanzibar!
Nilitegemea ubora uwe juu kwa reputation yake.

Mimi Orijino Comedy bila Joti siwezi kuangalia kabisa.
 
Hako kapili...sometimes yes sometimes no ......Kuna kipindi nakaonaga karembo kuna kipindi nakaonaga kabovu....kumbe kuna mshefa wa dstv anakamatia humo kukapa promo!!!??

Astaghfirullah laazin.
Kwa akili tu ya kawaida Pili ana hela gani ya kuweza kumiliki kipindi mpaka kiwe kikubwa vile?

Amefaidika na kufaidiwa, win win situation.
 
Kila siku Maria sijui kamfanya nini Frank, ujinga mtupu!

Mimi tu huwa nahadithiwa nimeshachoka sijui nyinyi wapenzi watazamaji.
Na sasa Maria kapata ujauzito. Mimba ataambiwa ni yake.

Sasa mpaka ajue anachapiwa ni miezi 9 labda ya kujifungua.

Sasa hebu piga picha miezi 9 kwenye Jua Kali ni miaka Mingapi huku mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…