Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Naam maana yeye kakiri kutoa rushwa...

Isipokuwa kwa Wasiwasi ni hadi itapochunguzwa na kuthibitika maana ametajwa kama mtuhumiwa wa pili...

Mtoa na mla rushwa wote hujulikana kama adui wa haki...
Wasiwasi mjanja sana, wasiwasi wake unaweza kumvusha katika hili.

Hakupokea rushwa direct kizembe kama wenzie akina Barbara na Onesmus.
 
Halafu nikitafuta msaada sipati. Ujue uzembe katika kidogo unaleta mashaka, nikajiuliza ningelipia mwaka je?

Ila kwa ninavyopenda umbea nitarudi tu siku moja.

Habari mama niliyoiweka kabla ya hii imesambaa sana, na wanajifanya kama wameandika wao na hadi picha wamechukua zilezile!
Si unajua mbongo mpe title tu habari atajaza mwenyewe 😂😂😂😂😂
 
Bado najiuliza Joti na Mwanatumu yake ina karibu na pengine kuzidi miaka 10 kuna namna gani?

Maana hadi waigizaji wakuu mule bwana Jengua na Mama Abdul (wapumzike kwa amani) walishatutoka hadi tumesahau lakini Mwanatumu bado ipo tu!
Vipindi vya zamani vinavyorudiwa kwenye TV zetu hamna ambae huwa anafaidi zaidi ya broadcaster kwasababu Tanzania hamna mfumo wakulipa royalties wala residuals kwenye kazi za filamu na TV shows, pamoja na kwamba wao wanaendelea kutengeneza hela.

Broadcasters huwa wananunua kazi kwa makubaliano ya kwamba wanaweza kuitumia vyovyote na popote vile watakavyotaka, isipokua zile ambazo ni licensed ofcourse. Sasa watendaji wakianza kuzoea watazamaji wao, (au labda ndio wanajaribu kubana matumizi kwaajili ya kazi chache zinazowaongezea ulaji), badala ya kuingia gharama za kununua content mpya wanarudia zile za zamani kujaza slot ama wanaonyesha kwenye chanel nyingine kwasababu haiwagharimu chochote.
 
Umeniongezea kitu Lizzy, thank you.
 
Ndugu yangu, nakiri mimi ni mmoja katika walioamini… Ila sipendi kuliweka suala hilo katika udini maana ile ni vita na sisi sote ni wa Mungu na marejeo yetu sote hakika ni kwake.

Haipaswi kuangalia upande mmoja, au kulitazama hili katika udini.
Kuna watoto wanapoteza maisha pande zote, malaika wale wote!

Busara ni kuombea vita iishe kwa amani kupatikana kwa pande zote mbili na sio upande mmoja pekee.

Shukrani

JIBU limejaa hekima na busara. Hongera.
 
mbona jua kali ni tamthiliya kali sana japo nimeanza kuifatilia ikiwa katikati, hata dhohari inaonekana iko powa japo bado ipo mwanzo, tamthiliya mbaya labda ni wimbi tu halafu uzuri au ubaya wakitu ni subjective!
Lol...ndio ni subjective, ila unaweza usipende kitu lakini ukajua ni kazi nzuri ya sanaa.

Hiyo Jua Kali nimeiona na bado sana haijafikia kiwango cha kusema eti ni tamithilia kali. Umeshawahi kuona tamthilia kali?

Ikiwa wameshindwa tu kwenye uandishi wa matukio ambao ndio msingi wa hii sanaa ndio utaita kali?

Kumbe watazamaji standard zetu zipo chini ndio maana tunaletewa takataka tuangalie. Lol.
 
Back
Top Bottom