Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampuni ni Multi ChoiceDstv wameinunuwa Mnet kupitia kampuni ya mult choice.
Ninachojuwa Mimi Mnet na Dstv vilikuwa ni ving'amuzi vya kampuni tofauti, kwa sasa Mnet ni Channel ndani ya Dstv inayomilikiwa na kampuni ya Mult choice.
Hicho ndicho ninachokumbuka maana na ni issue ya miaka Mingi sana.
AbsolutelyHalafu ni zote mbili, mapenzi na pesa.
Na zote zina nguvu kwelikweli!
Bora umenisaidia, mimi nitamjibu kesho kwa details zaidi.Dstv wameinunuwa Mnet kupitia kampuni ya mult choice.
Ninachojuwa Mimi Mnet na Dstv vilikuwa ni ving'amuzi vya kampuni tofauti, kwa sasa Mnet ni Channel ndani ya Dstv inayomilikiwa na kampuni ya Mult choice.
Hicho ndicho ninachokumbuka maana na ni issue ya miaka Mingi sana.
HahahahahaWabongo wakikuotea yaani hadi usemee!!
Movies and series kupitia app ya Kodi app au vipi?Afadhali nimeweka internet home nacheki streaming movie and free tv za nje huku nikifanya yangu aka kazi zangu kwa 50k tu from ttcl huo upuuzi niliukimbia muda sn wakiangalia wasiojua bora uangalie watoto wakicheza kimborera utakumbuka enzi zako sio huu upuuzi
Naichukiaaa jamani pamoja na hiyo kitimtim yaani sionagi maudhui yake najiwekeaga zangu Trace music tu hadi iisheBado najiuliza Joti na Mwanatumu yake ina karibu na pengine kuzidi miaka 10 kuna namna gani?
Maana hadi waigizaji wakuu mule bwana Jengua na Mama Abdul (wapumzike kwa amani) walishatutoka hadi tumesahau lakini Mwanatumu bado ipo tu!
Ndio ilivyo Tanzania, kwa upande wa South Africa nilikuwa mteja wa Mnet na Dstv walikuwa kivyao.Kampuni ni Multi Choice
Jina la Kingambuzi ni DStv
Jina la Channel Mnet
Ndio hivyo au?
HahahahahahaHalafu familia yangu utaiangalia wewe Mkuu?
Kawa kichaa ghafla karudi kuwa tajiri yaani story flani hivi ya kuchoshaMalalamiko ya Huba ni mengi sana, natumai yatafanyiwa kazi.
Si ndio ile mara JB akataka kuoa, mara akawa kichaa…
Mimi zaidi ya mpira sina kipindi ninachokipenda, maana drama zangu za Kikorea hazipo humo.Naichukiaaa jamani pamoja na hiyo kitimtim yaani sionagi maudhui yake najiwekeaga zangu Trace music tu hadi iishe