Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Asante mwaya, nashukuru.

Tatizo nikisema nifanye hivyo mtaniunga mkono kweli kwenye kunipa maokoto? Lols

Na sasa hivi ndio nina maumbea mazito ya kutikisa nchi! Hayo maubuyu hadi dada yetu yule hana.
na huwezi kuwa na madudu ya watu halafu na wao au kusiwe na hata mmoja mwenye madudu yako
 
Hahahahaha,wale kwa u Fit wako Fit ,nadhani zingine wanafanyaga kweli ,na zile arts za sasa ,aaargh wachina wanavitu bana
Sasa kule Kix movie ikiisha wanaonesha hadi behind the scene yake, huwa napenda sana kuangalia hasa za Jackie Chan matukio mengi huwa anafanya kweli.
kuna siku almanusra aanguke kutoka kwenye helkopta ilikuwa balaa!
 
Yah ,Jackie Movies zake nyingi ,mwisho anaonesha behind the scene ,unaona uongo,janja zake ,huwa anaumiiaga baadhi ya scene
 
Lol...ndio ni subjective, ila unaweza usipende kitu lakini ukajua ni kazi nzuri ya sanaa.

Hiyo Jua Kali nimeiona na bado sana haijafikia kiwango cha kusema eti ni tamithilia kali. Umeshawahi kuona tamthilia kali?

Ikiwa wameshindwa tu kwenye uandishi wa matukio ambao ndio msingi wa hii sanaa ndio utaita kali?

Kumbe watazamaji standard zetu zipo chini ndio maana tunaletewa takataka tuangalie. Lol.
uandishi upi wa matukio unaoumaanisha wewe? Mimi nimeangalia tamthiliya nyingi mno zakizungu, zakifilipino, zakibongo, nazakikorea hapo ndio nyumbani kwangu, kwanza nikuulize nitajie tamthiliya yako kali kupita zote ulizoangalia alafu mimi nitakutajia mapungu tele kutoka kwenye tamthiliya hiyo...,usijifanye unajua sana kukosoa kazi ya mtu wakati hata script kuandika hujui...mimi sio mgeni wa tamthiliya na ilinichukua wiki moja tu kujua "jua kali" iko poa japo nimeikuta katikati...
 
Msaada kwenye tuta, kutofautisha DStv, mnet na labda multi choice.....sizipati vizuri tofauti zake
Tofauti ya DStv na MultiChoice ni kwamba DStv (Digital Satellite Television) ndiye mtoa huduma ya matangazo ya hizo TV. MultiChoice ni muuzaji wa hiyo huduma ya DStv.

Na MultiChoice ndiye mmiliki wa DStv kwa 79.9% na Canal+ ya Ufaransa inamiliki 20.1%

Kuna MultiChoice Africa ambayo makao makuu yake ni South Africa, ila ina matawi kila nchi inayohudumia kwa sababu za mauzo.

Ndiyo maana unaona kuna MultiChoice Tanzania, Multichoice Kenya etc.

Na kwenye hizo nchi, kuna wenyeji wanakuwa na hisa, kama Tanzania, yumo Mwapachu na yule Tramontano na familia yake.

M-Net ndiyo kampuni yao inayosimamia au kuandaa vipindi.
Mmiliki wa M Net ni huyo MultChoice.
 
Asante Nifah, Kwa hiyo hao waliosimamishwa ni wa DStv, multi choice au mnet? Samahani, ni kwamba nataka nielewe vzr kidogo...
 
Asante Nifah, Kwa hiyo hao waliosimamishwa ni wa DStv, multi choice au mnet? Samahani, ni kwamba nataka nielewe vzr kidogo...
Ok. Sasa nimeelewa...kwamba lamata, pili nk wanaandaa tamthilia Kwa kushirikiana/kuangalia ubora na mnet, then wanaweza Sasa kupeleka DStv, Azam nk Kwa ajili ya kurushwa ili wadau tuone

Then kule wanakutana na vizingiti, Kwa hiyo wanalazimika......Basi Asante sana
 
Unawanyima watu haki sababu ya mapenzi, watu wanafanya kazi nzuri kama hao wachekeshaji, dark continent.

Nchi ya hovyo sana, vijana Wana struggle tafuta maisha, ili waonekane, rushwa, ngono, halafu mnatunyim burudan wateja.
 
Na mbaya zaidi, watu wana majina makubwa lakini wana maisha magumu sababu ya rushwa zilizokithiri!

Muandaaji atengeneze fungu la kuhonga kazi ipitishwe, na aendelee kuhonga kazi iendelee kupewa muda.
Hizo pesa za kuwalipa hao vijana zitatoka wapi?

DSTV wanastahili pongezi kwa hatua walizozichukua.
 
Dark continent, tunatakiwa kutafuta hela sana na kuomba Mungu sana watoto wetu wasiwe desperate kwenye hili li Dark continent.
 
Back
Top Bottom