Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Huba la jb na Happy lilivuta wengi kweli
Baada ya hapo hamna cha maana
Me siangalii bora niangalie njoro wa uba Ile ya wakenya
Wangeshikilia kwenye ubora ule wangenipata, walipokoroga tu nikatupilia mbali.

Jua Kali nako kuna kipindi kidogo nianze kuielewa wakavuruga!

Ila umenichekesha sana, Asante.
 
Back
Top Bottom