Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Mapya yaibuka sakata la Wakurugenzi DSTV kusimamishwa, mapenzi pia yahusishwa!

Lol...ndio ni subjective, ila unaweza usipende kitu lakini ukajua ni kazi nzuri ya sanaa.

Hiyo Jua Kali nimeiona na bado sana haijafikia kiwango cha kusema eti ni tamithilia kali. Umeshawahi kuona tamthilia kali?

Ikiwa wameshindwa tu kwenye uandishi wa matukio ambao ndio msingi wa hii sanaa ndio utaita kali?

Kumbe watazamaji standard zetu zipo chini ndio maana tunaletewa takataka tuangalie. Lol.

ile tamthiliya ya jua kali sio tamthiliya bora ni vile watu wanapewa chakula hicho chenye afadhali kwanza ni tamthiliya ambayo haina upigaji mzuri wa picha ya scene za majonzi na furaha mwanga unaotumika kwenye hizi scene na mmoja . scene ya usiku na mchana za ndani mwanga ni mmoja hatuoni uwepo wa jua ukipigwa ndani kiufupi cinematography ni mbovu . uandishi wa kawaida sanaaa ofisi ya kina madevu hatuonyeshwi inahusika na nini ? ofisi asilimia nyingi wanaongelea mambo ya nje ya ofisi
 
isike kaona yeye hawamuweki muda mrefu maana tamthiliya zake zinaisha wenzake isidingo tuu yy anaenda tamthiliya ya nne wenzake badoo
Halafu na maokoto anatakiwa kutoa, akaona wasimtanie akachoma nyumba na kila kilichomo!
 
Back
Top Bottom