Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 796
- 918
dadaje yani?Sawa dada.
mkataba wa kijini au na majini hauandikwi kwenye makaratasi yakhee, hata hivyo ni mambo ya nadharia.hamna hoja hapo,...nani alikuwepo wakati wanawekeana huo mktaba?
mwambie huyo sheikh wako aweke nakala ya huo mkataba hapa mkuu?...yeye alijuaje hayo?
Shehe anawaokota mamaamuma tu msikitini.hamna hoja hapo,...nani alikuwepo wakati wanawekeana huo mktaba?
mwambie huyo sheikh wako aweke nakala ya huo mkataba hapa mkuu?...yeye alijuaje hayo?
vp kuhusu msikiti wa pembe tano, ama ni hekalu la bwana sule? lililojengwa na majini.Shehe anawaokota mamaamuma tu msikitini.
Kuanzia lini viumbe vya kiroho (Majini) kujenga kitu cha kimwili?
Pumbavu.
Hayo mambo ya kukata mwezi kwa jambia. Kama unaamini basi amini na story hii.mkataba wa kijini au na majini hauandikwi kwenye makaratasi yakhee, hata hivyo ni mambo ya nadharia.
hahahahahahahahahahaha sawa qadhi.Hayo mambo ya kukata mwezi kwa jambia. Kama unaamini basi amini na story hii.
Kazi kweli kweliNaam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV.
Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha huyu mtaalamu hazijawahi kuzungumzwa popote katika media, kama tayari nikosolewe, lakini pia hajawahi kukanushwa na yeyote juu ya anayoyazungumza, kama tayari nikosolewe pia.
Sheikh Sultan Sharif anaeleza kuwa, Peramidi za Giza ni nyumba zilizojengwa na watawala wa kale wa Misri, ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya kimkataba walioingia wao watawala pamoja na majini wawili wanaofahamika kwa jina la Mustwaphaini, yaani Mustwafa wawili, kila mmoja anaitwa Mustapha.
Makubaliano ya mkataba wao ni kuwa : Wao watawala wapate kibali cha kiroho cha kuitawala dunia kwa kiwango cha muda ambacho bado hakijafahamika, Lakini pia akina Mustapha au Mustapha wawili ili kibali hicho kipatikane ni lazima wajengewe nyumba ya kukaa na kujifungia wao wenyewe.
Masharti haya ya kujengewa nyumba nafikiri ni masharti common sana kwa watu wanaofanya shghuli zao na majini, kule kwetu kigoma wapo watu huwa wanaambiwa ili uwe na jini fulani basi ni lazima ujenge nyumba mithili ya kiduku uwani kwako, sasa sijui ndo wao wakae au la.
Hawa Mustaphwain wao hawakuomba kiduku bali jengo kubwa la pembe tatu, kwa msiofahamu kiduku, ni nyumba ya tope ya duara yenye nyasi juu badala ya bati kama mlivyozoea hapa dasilamu.
Kwa mujibu wa Sheikh Sharifu Sultan, Hawa Mustwaphain hawali wala kunywa chochote, na humo ndani wana hazina kubwa ya ajabu pamoja na siri ambazo wanazijua wao wenyewe hawamwambii mtu.
Sheikh anakazia kuwa ujenzi wa peramidi zile ulitekelezwa na majini wenyewe, lakini pia mchoro ama design ya jengo au majengo hayo waliutoa haohao akina Mustapha na sio zao la akili ya mwanadamu kama ambavyo waafrika hujisifia kuyajenga.
Pamoja na maajabu ya majengo hayo, Sheikh anasema kuwa haitatokea majengo yale kuvunjwa na mtu yeyote mpaka kiama kinasimama. pamoja na elimu hiyo, Sheikh ansema kuwa yameshafanyika majaribio zaidi ya kumi na mbili ya kuvunja peramidi hizo lakini, hakuna aliyefanikiwa.
Asante.
rajarajabu99@gmail.com
umezungumza vizuri mkuu. nilichomaanisha ni kwamba, nikikosea nikosolew pia, kama hakutakuwa na elimu mbadala kwa anayoyasema basi yatahesabika kuwa na ukweli kwa kiwango stahiki.Hajawahi kukanushwa haimaanishi kwamba yupo sahihi.
Mbona hakuna aliyewahi kukanusha anayoyaandika Rais mtarajiwa Dennis Robert Shughuru
We unaamini yupo sahihi na sawa?
Wakati mwingine kuitwa kichaa sio lazima uonekane unaokota makopo.Sawa dada.
Kwahiyo Jini wanabeba tofali na kujenga msikiti? Thibitisha.vp kuhusu msikiti wa pembe tano, ama ni hekalu la bwana sule? lililojengwa na majini.
Uko sahihi bwana Lamomy.Wakati mwingine kuitwa kichaa sio lazima uonekane unaokota makopo.
Uzushivp kuhusu msikiti wa pembe tano, ama ni hekalu la bwana sule? lililojengwa na majini.
Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV.
Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha huyu mtaalamu hazijawahi kuzungumzwa popote katika media, kama tayari nikosolewe, lakini pia hajawahi kukanushwa na yeyote juu ya anayoyazungumza, kama tayari nikosolewe pia.
Sheikh Sultan Sharif anaeleza kuwa, Peramidi za Giza ni nyumba zilizojengwa na watawala wa kale wa Misri, ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya kimkataba walioingia wao watawala pamoja na majini wawili wanaofahamika kwa jina la Mustwaphaini, yaani Mustwafa wawili, kila mmoja anaitwa Mustapha.
Makubaliano ya mkataba wao ni kuwa : Wao watawala wapate kibali cha kiroho cha kuitawala dunia kwa kiwango cha muda ambacho bado hakijafahamika, Lakini pia akina Mustapha au Mustapha wawili ili kibali hicho kipatikane ni lazima wajengewe nyumba ya kukaa na kujifungia wao wenyewe.
Masharti haya ya kujengewa nyumba nafikiri ni masharti common sana kwa watu wanaofanya shghuli zao na majini, kule kwetu kigoma wapo watu huwa wanaambiwa ili uwe na jini fulani basi ni lazima ujenge nyumba mithili ya kiduku uwani kwako, sasa sijui ndo wao wakae au la.
Hawa Mustaphwain wao hawakuomba kiduku bali jengo kubwa la pembe tatu, kwa msiofahamu kiduku, ni nyumba ya tope ya duara yenye nyasi juu badala ya bati kama mlivyozoea hapa dasilamu.
Kwa mujibu wa Sheikh Sharifu Sultan, Hawa Mustwaphain hawali wala kunywa chochote, na humo ndani wana hazina kubwa ya ajabu pamoja na siri ambazo wanazijua wao wenyewe hawamwambii mtu.
Sheikh anakazia kuwa ujenzi wa peramidi zile ulitekelezwa na majini wenyewe, lakini pia mchoro ama design ya jengo au majengo hayo waliutoa haohao akina Mustapha na sio zao la akili ya mwanadamu kama ambavyo waafrika hujisifia kuyajenga.
Pamoja na maajabu ya majengo hayo, Sheikh anasema kuwa haitatokea majengo yale kuvunjwa na mtu yeyote mpaka kiama kinasimama. pamoja na elimu hiyo, Sheikh ansema kuwa yameshafanyika majaribio zaidi ya kumi na mbili ya kuvunja peramidi hizo lakini, hakuna aliyefanikiwa.
Asante.
rajarajabu99@gmail.com
Uko sahihi bwana Lamomy.