Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Akalipoe jua lililozama kwenye tope kwanza,halafu ndiyo arudi tupate wasaa wa kujadili hao majini.
Au aka ukarabati mwezi iliovunjwa vipande viwili na bwana muddy (54) mme wa Bi.aisha (6)Akalipoe jua lililozama kwenye tope kwanza,halafu ndiyo arudi tupate wasaa wa kujadili hao majini.
Eti ile ni ID yako inayoonesha jinsi yako sahihi ila hii ni ya kuokota maokoto ya washamba wa JF Bwana winga Lamomy 😁😇😇😇Bila kunitaja siku zenu hamuingii?
Aliuvunja hadi mwezi?🫸🫷🤪🤪🤪🤪🤪Au aka ukarabati mwezi iliovunjwa vipande viwili na bwana muddy (54) mme wa Bi.aisha (6)
We ndugu yake kifyasi ni mshari sana.
Kwahiyo huyo ni bwana Lamomy winga maarufu pale Kariakoo akija katika uhalisia wake.
Sikiza naona unajichosha mara uje na id’s tofauti kutafuta attention. Hiko hivi muda wa kujibizana na wewe sina, sio kwamba nakuogopa ila nimekuona km takataka…!!Eti ile ni ID yako inayoonesha jinsi yako sahihi ila hii ni ya kuokota maokoto ya washamba wa JF Bwana winga Lamomy 😁😇😇😇
Acha kudandia. Kwanini hayo majini yako hayakuzihenga uarabuni kwa mabwana zenu? Huyo sharrif mweyewe hana tofauti na akina gwajima. Takataka kiakili na kielimuNaam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV.
Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha huyu mtaalamu hazijawahi kuzungumzwa popote katika media, kama9 tayari nikosolewe, lakini pia hajawahi kukanushwa na yeyote juu ya anayoyazungumza, kama tayari nikosolewe pia.
Sheikh Sultan Sharif anaeleza kuwa, Peramidi za Giza ni nyumba zilizojengwa na watawala wa kale wa Misri, ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya kimkataba walioingia wao watawala pamoja na majini wawili wanaofahamika kwa jina la Mustwaphaini, yaani Mustwafa wawili, kila mmoja anaitwa Mustapha.
Makubaliano ya mkataba wao ni kuwa : Wao watawala wapate kibali cha kiroho cha kuitawala dunia kwa kiwango cha muda ambacho bado hakijafahamika, Lakini pia akina Mustapha au Mustapha wawili ili kibali hicho kipatikane ni lazima wajengewe nyumba ya kukaa na kujifungia wao wenyewe.
Masharti haya ya kujengewa nyumba nafikiri ni masharti common sana kwa watu wanaofanya shghuli zao na majini, kule kwetu kigoma wapo watu huwa wanaambiwa ili uwe na jini fulani basi ni lazima ujenge nyumba mithili ya kiduku uwani kwako, sasa sijui ndo wao wakae au la.
Hawa Mustaphwain wao hawakuomba kiduku bali jengo kubwa la pembe tatu, kwa msiofahamu kiduku, ni nyumba ya tope ya duara yenye nyasi juu badala ya bati kama mlivyozoea hapa dasilamu.
Kwa mujibu wa Sheikh Sharifu Sultan, Hawa Mustwaphain hawali wala kunywa chochote, na humo ndani wana hazina kubwa ya ajabu pamoja na siri ambazo wanazijua wao wenyewe hawamwambii mtu.
Sheikh anakazia kuwa ujenzi wa peramidi zile ulitekelezwa na majini wenyewe, lakini pia mchoro ama design ya jengo au majengo hayo waliutoa haohao akina Mustapha na sio zao la akili ya mwanadamu kama ambavyo waafrika hujisifia kuyajenga.
Pamoja na maajabu ya majengo hayo, Sheikh anasema kuwa haitatokea majengo yale kuvunjwa na mtu yeyote mpaka kiama kinasimama. pamoja na elimu hiyo, Sheikh ansema kuwa yameshafanyika majaribio zaidi ya kumi na mbili ya kuvunja peramidi hizo lakini, hakuna aliyefanikiwa.
Asante.
[email protected]
Garbage and hogwashmkataba wa kijini au na majini hauandikwi kwenye makaratasi yakhee, hata hivyo ni mambo ya nadharia.
Chief dada tena?🙍Sawa dada.