Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

Eti ile ni ID yako inayoonesha jinsi yako sahihi ila hii ni ya kuokota maokoto ya washamba wa JF Bwana winga Lamomy πŸ˜πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Sikiza naona unajichosha mara uje na id’s tofauti kutafuta attention. Hiko hivi muda wa kujibizana na wewe sina, sio kwamba nakuogopa ila nimekuona km takataka…!!
 
Asante kwa kushiriki haya maarifa ya Sheikh Sharifu Sultan. Ingawa si kila mtu atakubaliana na mtazamo huu wa kiroho, ni kweli kuwa historia ya piramidi imezungukwa na mafumbo mengi. Nadhani ni muhimu kuangalia mitazamo yote – ya kisayansi na ya kijadi. Ukweli kamili huenda upo katikati ya yote haya. Binafsi, napata shauku zaidi ya kuchunguza historia hii kwa jicho pana

 
Kila jamii ina simulizi lake kuhusu pyramids – wengine husema ni kazi ya majini waliowekwa kwa mkataba wa kiroho, kama asemavyo Sheikh Sharifu Sultan.

Wengine husema ni kazi ya wanadamu wenye elimu ya juu ya usanifu - "Geometry", wakiambatisha na matumizi ya nguvu.

Binafsi siwezi kuthibitisha wala kukanusha – ila najiuliza: Hivi binadamu tunajua vya kutosha kuhusiana asili ya siri za kale?
 
Acha kudandia. Kwanini hayo majini yako hayakuzihenga uarabuni kwa mabwana zenu? Huyo sharrif mweyewe hana tofauti na akina gwajima. Takataka kiakili na kielimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…