Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Manyama Mujora mkazi wa mtaa wa Kwangwa B Manispaa ya Musoma kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua mwanaye mwenye umri wa miezi sita kwa madai ya kuwa alikuwa akijiliza na baada ya tukio hilo alichukua jukumu la kuchimba kaburi ili amzike.
Kaburi lililochimbwa na mtuhumiwa kwa nia ya kumzika mwanaye
Kaburi lililochimbwa na mtuhumiwa kwa nia ya kumzika mwanaye