Yaani huu mkoa bora umegwe uende Kenya. Kule ndiyo iko mijitu ya namna yao.Mara wamezoea matumizi ya nguvu kuliko akili
Hapana ,. Ni baadhi ya maeneo tu,hii Nchi ngumu sana
In maras voice "mama vero ttanddika kirraggo nattaka kuttofya😂😂😂😂😂"Miezi sita mdogo sana kusema anajiliza liza,je kama alikua anaumwa,kakojoa anahitaji kubadilishwa nguo etc. au Manyama aliona mtoto anamkosesha nafasi kwa mkewe
🤣🤣🤣Hapana ,. Ni baadhi ya maeneo tu,
Usihame mkuu
Huyu ni wa mirembe kisha ndio apelekwe IsangaJeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Manyama Mujora mkazi wa mtaa wa Kwangwa B Manispaa ya Musoma kwa tuhuma ya kumpiga hadi kumuua mwanaye mwenye umri wa miezi sita kwa madai ya kuwa alikuwa akijiliza na baada ya tukio hilo alichukua jukumu la kuchimba kaburi ili amzike.
View attachment 1800050
Kaburi lililochimbwa na mtuhumiwa kwa nia ya kumzika mwanaye
View attachment 1800051