Hivi jamani huwa mnawaelewa akili za watu wa huu ukanda wa ziwa?
[emoji134]Kule usukumani,kipindi ichi cha mavuno ndio kipindi chao cha kuuana,yani wanauana pasi na sababu za maana.
[emoji134]Huko Mara ndio hovyo kabisa.Ugomvi wa jero tu unasabisha kifo.