MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

Maza boya sana
 
mimi huwa nakataa kwa akili ya kawaida lazima kuwe na external force applied on it...
si rahisi kama tunavyofikiri
 
Hawa si ndio huwa mnawaitaga mabaharia?

Baharia limelawiti binti yake kimasihara! Hongera sana.

Arooo... yaani unaweka bolo kabisa kwa katoto kadogo ulichozaa mwenyewe! Kum*a*ny*ko!
 
...huyo mke n mpumbav yani unakuta mume limemlalia mtoto wake ambaye n wako eti anasamehe kisa mtu wa dini WTF!!! hii midini ya kizungu n kiarabu inafanya miafrika kuwa mijinga zaid.....
 
Kama ni Mara mbona haishangazi kabisa

Huko matukio hayo ya Ubakaji, ya kukatana mapanga na Ukeketaji ni jadi yao.
 
Kasie who??
Back to topic .huyu baba ni mbuzi
 
Hii mbaya sana aisee..akili za ajabu kabisa hizi! Huyu hata kumfunga haisadii..huyu ni kugonga pumb.u zake kwa nyundo na kuzisaga kisha anaingiziwa spoku kwenye tundu ya dhakari yake!
Hii Kazi unaweza kuifanya?
 
Huyu father anakipara kama gamba la kobe, angepitilizwa jela tu ili hukumu imkutie huko huko.
 
Hii mbaya sana aisee..akili za ajabu kabisa hizi! Huyu hata kumfunga haisadii..huyu ni kugonga pumb.u zake kwa nyundo na kuzisaga kisha anaingiziwa spoku kwenye tundu ya dhakari yake!
Ukimfanyia hivyo anakufa, hivyo hawezi 'kufaidi' adhabu.

Tulishashauri kwenye visa kama hivi, wahasiwe tu.

Maana ukiisha mhasi hata umpe mtoto akulelee, mwanao utamkuta salama
 
Ukimfanyia hivyo anakufa, hivyo hawezi 'kufaidi' adhabu.

Tulishashauri kwenye visa kama hivi, wahasiwe tu.

Maana ukiisha mhasi hata umpe mtoto akulelee, mwanao utamkuta salama
Ukimhasi anageuka shoga! Yaani ni muendelezo wa kutukwaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…