Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara clara the best
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
maraclara ipoo juu
Mara Clara haiishiwi visa ,ipo juu kinomaaa
maraclara is the best of the best
second chance iko poa na mara clara iko poa tofauti mara clara "violence" imezidi, gari ameniboa sana pamoja na clara na mara wakati mwingine alionyesha udhaifu sana. all in all Marimari ilikuwa bomba, second chance pia wahusika walivaa uhalisia wao kiukweli.
Star tv tamthilia zao huwa si ndefu sana za kuchosha nawafagilia. ila chanel ten sijui wana matatizo gani.
The end. Mara.clara.
Tungoje star tv wapo vizur tusubiri kichupa kijacho.
Nakubaliana na wewe. Kiukwelii second chance ilikuwa bomba na imekamilika.-mara clara ina visa vya kuji-rudia walikosa ubunifu, muendelezo wa visa ni kutekana tu, wanaokolewa, tena wanatekana! na tena mtekaji ni yule yule na watekwaji ni walewale!!!!
-gary wamempa wasifu wa mtu maskini lakini eti ana mbinu za kidoni-mafia hapa walikosea pia!
-tamthiliya lazima iwe na asubuhi mchana na usiku, na sio matukio tu ya ghafla mara kavaa nguo hii yupo kwa avira, tena ghafla ambapo huwezi sema tena ni siku hiyo hiyo au siku nyingine anaonekana yupo kwake tayari ana nguo nyingine!
mara clara pamoja na tamthiliya za kifilipino wanakosa ile kitu ya day to day, yaani asubuhi-mchana-usiku , siku nyingine. huwezi kulinganisha na second chance hata punje! second chance ni tamthiliya iliyokamilika ina kila kitu haina matukio ya kushtukiza!!
kwa kifupi mara clara ilikuwa kitoto sana.
-mara clara ina visa
vya kuji-rudia walikosa ubunifu, muendelezo wa visa ni kutekana tu,
wanaokolewa, tena wanatekana! na tena mtekaji ni yule yule na watekwaji
ni walewale!!!!
-gary wamempa wasifu wa mtu maskini lakini eti ana mbinu za kidoni-mafia
hapa walikosea pia!
-tamthiliya lazima iwe na asubuhi mchana na usiku, na sio matukio tu ya
ghafla mara kavaa nguo hii yupo kwa avira, tena ghafla ambapo huwezi
sema tena ni siku hiyo hiyo au siku nyingine anaonekana yupo kwake
tayari ana nguo nyingine!
mara clara pamoja na tamthiliya za kifilipino wanakosa ile kitu ya day
to day, yaani asubuhi-mchana-usiku , siku nyingine. huwezi kulinganisha
na second chance hata punje! second chance ni tamthiliya iliyokamilika
ina kila kitu haina matukio ya kushtukiza!!
kwa kifupi mara clara ilikuwa kitoto sana.