Mara clara vs second chance

second chance iko poa na mara clara iko poa tofauti mara clara "violence" imezidi, gari ameniboa sana pamoja na clara na mara wakati mwingine alionyesha udhaifu sana. all in all Marimari ilikuwa bomba, second chance pia wahusika walivaa uhalisia wao kiukweli.

Star tv tamthilia zao huwa si ndefu sana za kuchosha nawafagilia. ila chanel ten sijui wana matatizo gani.
 
Mara Clarah ni tamthilia nzuri sana, kwakweli star tv wanajitahidi sana, tamthilia zao huwa ni nzuri sana na ni fupi , sio kama wengine. ITV wana bore maana wanaonyesha tamthilia ndeefu na bado wanazirudia. Mfano Acabulco bay, hii ilirudiwa kama sikosei ni mara 2.

Hapana chezeya Gary mzee wa mipango, Suzan - huyu dada nimependa sana uigizaji wake, Clarah...mhhh hadi unaweza kumchukia ila mwisho wa siku unaona ni tamthilia tu.
 
second chance ni nooma,kuna vipengele kwenye tamthilia ya mara clara wamecheza uongo kabisa hadi unaonekana kama pale gery anavyotoroka jela utafikir ze comedi bwana.
 
-mara clara ina visa vya kuji-rudia walikosa ubunifu, muendelezo wa visa ni kutekana tu, wanaokolewa, tena wanatekana! na tena mtekaji ni yule yule na watekwaji ni walewale!!!!

-gary wamempa wasifu wa mtu maskini lakini eti ana mbinu za kidoni-mafia hapa walikosea pia!

-tamthiliya lazima iwe na asubuhi mchana na usiku, na sio matukio tu ya ghafla mara kavaa nguo hii yupo kwa avira, tena ghafla ambapo huwezi sema tena ni siku hiyo hiyo au siku nyingine anaonekana yupo kwake tayari ana nguo nyingine!

mara clara pamoja na tamthiliya za kifilipino wanakosa ile kitu ya day to day, yaani asubuhi-mchana-usiku , siku nyingine. huwezi kulinganisha na second chance hata punje! second chance ni tamthiliya iliyokamilika ina kila kitu haina matukio ya kushtukiza!!

kwa kifupi mara clara ilikuwa kitoto sana.


Mara clara the best

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

maraclara ipoo juu

Mara Clara haiishiwi visa ,ipo juu kinomaaa

maraclara is the best of the best

 
Nimesikitika sijaona mara clara imeishaje, star tv wametufanyia uhuni watu wa kanda ya ziwa tunaotumia cable, wamekataa channel yao isioneshwe thr cable, wanataka watu wote tununue ving'amuzi, sina hakika kama wamafanya sawa, sijui za channel 10, itv na channel zingine za hapa tz wakiamua kuondoa chanel zao itakuwaje
The end. Mara.clara.
Tungoje star tv wapo vizur tusubiri kichupa kijacho.
 
Nakubaliana na wewe. Kiukwelii second chance ilikuwa bomba na imekamilika.
 
Mambo yote siku hizi STVE2 ya StarTimes. Kuna Telenovela huko nzuri hadi unaganda kwenye TV. TERESA, THE ONE WHO COULDNT LOVE AND SHELTER FOR LOVE. Jamani kuna wamama warembo wanaojua kuigiza kiUkweliii! Wababa wenye tabia kama za wanaume wetu wa Kiswahili za kutaka dogodogo huku wana ndoa na mabinti wakubwa kama dogo hao. Wanakupa Episode 2 kwa siku siyo zile za ITV Episode moja kwa dk 30 siku imepita. Hiyo Mara na Clara siipendi kwa sababu wazazi wao bado ni Vijana amabao kiuhalisia hawawezi kuwa na watotot size yao. Kwa mfano baba yake Mara na Mama yake Clara bado wadogo kupewa watoto walipaswa wawe kaka au dada. Telenovela za America ya Kusini Wazazi wanakuwa watu wazima hasa. Ukitaka Kuganda Jumapili tangu saa SIta usiku hadi saa mbili unapata marudio yote ya wiki. Karibuni STVE2 Startimes.
 
Star tv sasa wanatangaza nyingine itakayoanza bado kuna clara,suzan,bibi lupe na wengine waliokuwa kwa maraclara
 

Ahsante mchambuzi,2nd chance ilikuwa poa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…