Nakubaliana na heading yako ... niko very much dissapointed na hao ndugu zangu, lakini siwalaumu. Ni mfumo uliopo ndio umewajenga hivyo ( na majority ya watanzania) kuwa jinsi walivyo, so tusiwalaumu sana. Slaa ameanza, tushirikiane naye kuwaelimisha Watanzania wote .... waamke kutoka kwenye ganzi waliyowekewa na ccm kwa kipindi cha miaka 50 !!