Eti ooh haya mafanikio yangu juhudi zangu mwenyewe. Hakuna kitu kama Mungu... Nimesoma nakujituma. Kama Mungu yupo na ajionyeshe Sasa... Mara ukifa unamkuta huyu hapo ameketi kwenye kiti Cha enzi.....
mambo ya kujifariji ayoBora uamini yupo halafu usimkute kuliko uamini hayupo halafu ukamkuta