Mara huyo umemkuta

Mara huyo umemkuta

.....hamna wakati mgumu ka wakati binadamu awazapo mwisho wa maisha mara amalizapo STAREHE/UFAHARI ZOTE/wote wa ulimwenguu, what next ?
 
Muumba yupo ila ukweli dini zetu zina vitisho sana. Na sitaki jua MUNGU yupo kwa dini ipi mana hapo ndo mtian mwingine. Waeza mlaumu asiye amin MUNGU yupo na wewe ni dini flan kumbe yupo kwa dini nyingine. Yaan ni kama yule tu asiye na iman
 
hlf Mungu anakwambia utaje majina yake yote ya utani ndipo akusamehe
 
Ikiwa tunaamini kwamba super natural power ipo suala la uwepo wa Mungu si la kuhoji
 
Kiranga huwa anafurahishaga baraza tu Mimi naamini katika maisha yake halisi anaamini kabisa Mungu yupo.
 
Eti ooh haya mafanikio yangu juhudi zangu mwenyewe. Hakuna kitu kama Mungu... Nimesoma nakujituma. Kama Mungu yupo na ajionyeshe Sasa... Mara ukifa unamkuta huyu hapo ameketi kwenye kiti Cha enzi.....

Huu Uzi kuna Watu tunaweza tukaongeza ' dhambi ' zetu kwa ' Kukufuru ' hivyo bora tu wengine tunyamaze tuwe watazamaji.
 
Mungu yupo jaman, Mungu ni roho anaketi mahali pa siri usikate kujua ni wapi ila jua ni mahali pa siri, Ndio maana Musa alitaka kumuona akajibiwa, Musa hakuna mwanadamu atakayeniona akaishi, wewe amini tu maana maandiko yanasema pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana inayopeleleza yaliyo ndani.Pumzi hii ni yake
 
Back
Top Bottom