sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Blah blah peleka instKuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.
Mkuu yule mdada hatabiriki alichomfanyia leo shekhe hata mwajuma kandambili wa mwananyamala akiamua atamjua tu nje ndaniDemu gani sasa mkuu unaetaka kumuoa mwenye bifu na mange ni yule sheik or demu gani?
Mkuu kwan we ulijua kuwa anamfaham vile shekh wetuKumbe huyo Mange anawafahamu watu wote[emoji34]
Kabisa mkuuKuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.
Ingia google uliza mkuu nafikiri utapata jibuWho is Mange kimambi?
Chit chat umekuja kufanya nnBlah blah peleka inst
Unaweza kughairisha harus unamsubir da mange maana unaona tu da mange anaweka picha mkeo alishawai kuliwa ndogoHahaha anatisha moto wake kuuzima lazima ujipange
Hana lolote kemaamalamakuKuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.
Mi sio siri kuna baadhi ya watu kanifanya niwadharau mnoo....Kuna baadhi ya watu humu ndani JF wanamdharau sana Mange kwa kuona kama ni mtu mjinga Fulani hivi ambae hata akiongea vipi hawezi leta impact yoyote.Ila amini nawaambieni maneno ya Mange yana impact kubwa sana whether + or - . usiombe ukaingia kwenye 18 zake huku side B ya maisha yako ni chafu especially kama una reputation Fulani kwenye jamii.najaribu kuwakumbuka baadhi ya watu waliowahi kukinywa kikombe cha huyu Dada jinsi walivyohangaika kujiweka sawa lakini mpaka leo bado heshima yao ipo chini isipokuwa wanajitia ujasiri tu.
Nitamuo. Hamna binadamu asiye Na back story.Hivi ikitokea demu unayetaka kumuoa wiki moja mbele ukasikia da mange wa hide my ID siku moja kabla ya Harusi anasema anamwaga kila kutu chake utafanyaje
Me nitasubiri da mange amwage kila kitu kwanza ndio nioe[emoji1] [emoji1] [emoji1]