sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Hivi ikitokea demu unayetaka kumuoa wiki moja mbele ukasikia da mange wa hide my ID siku moja kabla ya Harusi anasema anamwaga kila kutu chake utafanyaje
Me nitasubiri da mange amwage kila kitu kwanza ndio nioe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Me nitasubiri da mange amwage kila kitu kwanza ndio nioe[emoji1] [emoji1] [emoji1]